UKIPAKI GARI YAKO HOVYO TU,HAWA HAPA..!
![](http://3.bp.blogspot.com/-PlBbBhR718U/VKFIjdZeMmI/AAAAAAAG6Zc/SX5Bc12q4Lk/s72-c/4.jpg)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo12 Dec
RC aonya siasa za hovyo hovyo Arusha
MKUU mpya wa Mkoa wa Arusha, Daud Felix Ntibenda `Kijiko’ amevitaka vyama vya siasa mkoani hapa kuepuka siasa zozote zinazoingilia utendaji wa Serikali na kusisitiza atapambana hadi dakika za mwisho ili kuhakikisha siasa hizo hazipati nafasi.
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Waliotemwa Azam FC hawa hapa
HATIMAYE uongozi wa Azam FC umetaja majina ya wachezaji iliowatema huku ikidaiwa kuwa mbioni kumnasa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’, ambaye pia anawaniwa na Simba. Azam FC, awali ilitangaza...
11 years ago
Habarileo10 May
Mawaziri kambi ya upinzani hawa hapa
KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeunda upya baraza lake kivuli la mawaziri kwa kuingiza wabunge wa vyama vya CUF na NCCR-Mageuzi isipokuwa TLP na DP. Kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe alitaja orodha ya mawaziri vivuli jana mjini Dodoma kwenye mkutano na waandishi wa habari.
11 years ago
Tanzania Daima08 Feb
Wajumbe Bunge la Katiba hawa hapa
SERIKALI imetangaza majina 201 ya wajumbe kutoka makundi mbalimbali nchini walioomba kuteuliwa ili kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Kabla ya kutangaza majina hayo kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete,...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-WubpKQ02h7I/U964bJ0vawI/AAAAAAAF8sU/6YnAFzgRMWQ/s1600/1.NO.jpg)
WASHIRIKI WA MISS TEMEKE 2014 HAWA HAPA
10 years ago
Bongo Movies10 May
Best Screenplay Hawa Hapa Mpigie Kura Anayetisha
KATIKA Tuzo za Tafa kila kipengele kimejaa upinzani kwani naamini wote walioingia humu wanatisha bali kuna mmoja wao atakuwa zaidi yao basi mpigie kura aweze kuibuka mshindi katika kinyang’anyiro hiki muhimu katika utayarishaji wa filamu.
Unakutana na Takura Maulay ‘TK’ kupitia filamu ya Sunshine, hapa kuna Timoth Conrad ‘Tico’akiwakilisha filamu ya Dogo Masai, Ahmed Khalfan ‘Kelvin’We are Four, ,Irene Sanga filamu ya Mikono Salama, Novatus Mgulusi ‘Ras N’ anawakilisha filamu ya...
10 years ago
Dewji Blog24 May
Washindi wa tuzo za Watu 2015, hawa hapa!!
Pichani wakati wa tuzo za watu ilivyokuwa baada ya washindi kukabidhiwa tuzo zao..
Na Andrew Chale, Modewji blog
Hatimaye usiku wa Mei 22 Tanzania iliandika historia nyingine kwa kushuhudia utoaji wa tuzo maalum zijulikanazo kama TUZO ZA WATU 2015, zilizofanyika jijini Dar es Salaam.
Washindi hao ni katika vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo ya washindi yaliingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi...
11 years ago
Habarileo10 Dec
Vigogo watakaomuaga Mandela leo hawa hapa
DUNIA leo inaelekeza macho na masikio Afrika Kusini, wakati viongozi 90 wakuu wa nchi na Serikali, viongozi wa mashirika ya kimataifa na watu mashuhuri, watakaposhiriki katika siku ya kitaifa ya kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa Rais wa Kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela.