Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WASHIRIKI WA MISS TEMEKE 2014 HAWA HAPA

Mshiriki Nambari 1 (Subira Ally). Mshiriki Nambari 2 (Hellen Eugen). Mshiriki Nambari 3 (Rehema Jabiry).…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

GPL

WASHIRIKI WA KWANZA KUONDOLEWA BIG BROTHER HOTSHOTS HAWA HAPA

Mira wa Msumbiji aliyeaga mashindano hayo jana. Resa kutoka Zambia akiwaaga wenzake. WASHIRI Resa kutoka Zambia na Mira wa Msumbiji ndiyo washiriki wa kwanza kuondolewa katika shindano la Big Brother Hotshots mwaka huu. Washiriki hao wameondolewa Jumapili Oktoba 12, baada ya kukaa mjengoni kwa wiki moja…

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI

Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa stejini ndani ya ukumbi wa Da' West, Tabata.…

 

11 years ago

Michuzi

nkamia aongea na washiriki wa MISS UDOM 2014

 Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Juma Nkamia akiongea na baadaye kupiga picha ya pamoja na warembo washiriki wa shindano la kumtafuta REDD'S MISS UDOM 2014 Yatakayo fanyika mjini Dodoma katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Tarehe 11/04/2014 na kusindikizwa na burudani kutoka Bendi ya Twanga Pepeta Na Deusdedit moshi

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS MBAGALA 2014 WATINGA GLOBAL

Washiriki wa Miss Mbagala 2014 wakiwa katika pozi la pamoja leo hii katika ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge, Dar. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (Kulia) akiwapa maelekezo.…

 

10 years ago

Michuzi

nani kuibuika miss temeke 2014??

 NANI kati wa washiriki 17 ataibuka kuwa mshindi wa shindano la Redd's Miss Temeke 2014, linalofanyika kesho kwenye Ukumbi wa TCC Club Chang'ombe Dar es Salaam.
Jumla ya warembo 17 kutoka vitongoji vya Mbagala, Kurasini na Chang;ombe watapanda jukwaani kuwania taji hilo, huku washindi wa tatu watapata nafasi ya kushiriki shindano la Miss Tanzania mwaka 2014.
Akizungumza Dar es Salaa jana Mkurugenzi BMP Promotions, Benny Kisaka, alisema kuwa maandalizi ya shindano hilo...

 

10 years ago

GPL

SITTI MTEMVU MISS TEMEKE 2014

Mshindi wa taji la Miss Temeke 2014, Sitti Mtemvu akipungia mkono mara tu baada ya kutangazwa rasmi kuwa ndie aliestahili kupata taji hilo katika shindano lililomalizika usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa TCC Club, Chang'ombe jijini Dar es salaam.Kushoto ni Mshindi wa pili,Salama Saleh na kulia ni Mshindi wa tatu,Neema Mollely. Miss Temeke 2014,Sitti Mtemvu akiwa ni mwenye tabasamu zito mara baada ya kutwaa taji… ...

 

10 years ago

GPL

FAINALI MISS TEMEKE 2014 KUFANYIKA AGOSTI 22

Vimwana wa Miss Temeke 2014 wakiwa kwenye pozi la pamoja ikiwa ni sehemu ya maandalizi yao ya kuelekea kwenye kinyang'anyiro chao kitakachofanyika kwenye Ukumbi wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam Agosti 22, 2014. Jumla ya washiriki 17 watapanda jukwaani siku hiyo kuwania taji hilo. Warembo…

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani