nkamia aongea na washiriki wa MISS UDOM 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-w0E74lcpG4k/U0a0N2R7N7I/AAAAAAAFZuk/9D9er7kqJiA/s72-c/unnamed+(18).jpg)
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Juma Nkamia akiongea na baadaye kupiga picha ya pamoja na warembo washiriki wa shindano la kumtafuta REDD'S MISS UDOM 2014 Yatakayo fanyika mjini Dodoma katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Tarehe 11/04/2014 na kusindikizwa na burudani kutoka Bendi ya Twanga Pepeta
Na Deusdedit moshi
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboLUDENGA AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA SAKATA LA UMRI MISS TANZANIA 2014
Alipotangazwa mshindi, Miss Tanzania 2014, Sitti, ambaye ni binti wa mbunge wa jimbo la Temeke jijini Dar es Salaam, alivikwa taji na mtangulizi wake Happyness Watimanywa, Miss Tanzania 2013.
Kufikia taji hilo la Miss Tanzania,2014 Bi...
11 years ago
GPLWASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI
11 years ago
GPLWASHIRIKI MISS MBAGALA 2014 WATINGA GLOBAL
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-WubpKQ02h7I/U964bJ0vawI/AAAAAAAF8sU/6YnAFzgRMWQ/s1600/1.NO.jpg)
WASHIRIKI WA MISS TEMEKE 2014 HAWA HAPA
10 years ago
GPLWASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI
10 years ago
Dewji Blog20 Sep
Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watoa msaada hospitali ya Kilema na Marangu Moshi
Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.
Mwakilishi wa Kanda ya Ziwa katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Dorine Robert akimpa zawadi ya chandarua mgonjwa Jamila Msafiri aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa msaaada mbalimbali ya kijamii...
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.
Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.
Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...
10 years ago
Dewji Blog05 Sep
Washiriki wa shindano la Miss Ilala 2014 watambulishwa rasmi kwa mashabiki wa Skylight Band
Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao huku wakiongozwa na Mary Lucos (kushoto) katika show zao za kila Ijumaa kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar bila kusahau leo pia watakuwepo kuanzia saa tatu usiku.
Kijana Hashim Donode akionyesha hisia kali wakati akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kushoto ni Meneja wa Band Aneth Kushaba akimpa sapoti.
Mashabiki wa Skylight Band...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/DSC_0089.jpg)
WASHIRIKI WA SHINDANO LA MISS ILALA 2014 WATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA SKYLIGHT BAND