Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watoa msaada hospitali ya Kilema na Marangu Moshi

Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.

FKB_0181

Mwakilishi wa Kanda ya Ziwa katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Dorine Robert akimpa zawadi ya chandarua mgonjwa Jamila Msafiri aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa msaaada mbalimbali ya kijamii...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MISS TANZANIA WATOA MSAADA HOSPITALI YA KILEMA NA MARANGU MOSHI

Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Warembo waiangalia watoto. picha ya pamoja ya warembo na wenyeji Hospitali ya Kilema Moshi.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

WASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 wakipozi jirani na bwawa la viboko na mamba lililopo katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi wakati warembo hao walipotembelea hifadhi hiyo jana ikiwa ni sehemu ya kuhamasisha utalii wa ndani nchini. Mwongoza watalii katika Hifadhi ya Taifa ya Mikumi…

 

10 years ago

Dewji Blog

Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA

FKB_9581

Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.

Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.

Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...

 

10 years ago

GPL

MISS UNIVERSE TANZANIA 2014 AKABIDHI MSAADA KWA WASICHANA WA SHULE YA MSINGI MSIMBAZI MSETO

Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard akitoa elimu ya afya kwa wanafunzi wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto. Caroline Bernard akiendelea kuwapa darasa wanafunzi hao. Miss Universe Tanzania 2014 Caroline Bernard leo amekabidhi msaada pamoja na kutoa elimu ya afya ya uzazi kwa watoto wa kike katika shule ya msingi Msimbazi Mseto. Huu ukiwa ni mwendelezo wake katika kufanya kazi za kijamii, Caroline ambaye ndiye...

 

9 years ago

Vijimambo

NMB MOSHI WATOA POLE KWA WAGONJWA HOSPITALI YA RUFAA YA KCMC.

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB katika matawi ya Nelson Mandela na Mawenzi wakiwasili katika hosptali ya rufaa ya KCMC .
Meneja wa Benki ya NMB tawi la Nelson Mandela ,Emanuel Kashusho akizungumza jambo na afisa habari wa hospitali ya rufaa ya KCMC Gabriel Chiseo.(Kulia).Afisa Uhusiano wa Hosptali ya Rufaa ya KCMC akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Benki ya NMB,matawi ya Moshi mjini waliotembelea hosptalini hapo kutoa zawadi na kuwapa pole wagonjwa.Wafanyakazi wa NMB Moshi wakimsikiliza...

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa Airtel watoa msaada hospitali ya Ocean Road

Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa Airtel Tanzania ‘Airtel Diva’, Amitin Mbamba (kulia), akikabidhi msaada wa machela za kisasa mbili, ‘wheel chair’ mbili na bidhaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya milioni 5/-, kwa Muuguzi Mkuu wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI), Mary Haule, kwaajili ya matumizi ya wagongwa katika taasisi hiyo, jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wanaoshuhudia ni wanachama wa Airtel Diva. Mwenyekiti wa kikundi cha wanawake wafanyakazi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

CHETI CHA KUZALIWA CHA MISS TANZANIA KILITOLEWA SIKU 4 KABLA YA KAMBI YA WASHIRIKI WA MISS TANZANIA KUANZA


Mkurugenzi wa kampuni ya Lino International Agency, Hashim Lundenga (kulia) akionyesha cheti cha kuzaliwa cha Miss Tanzania 2014, Sitti Mtevu kilichoandikwa amezaliwa mwaka 1991 wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana. Picha: Omar Fungo

Sakata la umri halisi wa mrembo mpya wa Tanzania mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu bado linaendelea kuchukua sura mpya baada ya mshindi huyo wa taji la taifa kuwasilisha cheti cha kuzaliwa ambacho kimetolewa siku...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI

Washiriki wa Miss Tabata 2014 wakiwa stejini ndani ya ukumbi wa Da' West, Tabata.…

 

10 years ago

Michuzi

NHIF WATOA MSAADA WA MASHUKA 120 HOSPITALI YA MANISPAA YA TEMEKE

 Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa wa Temeke (NHIF),Constantine Makala akieleza jambo wakati wa kukabidhi mashuka 120 katika hospitali ya Temeke leo jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali hiyo, Dk.Edwin Muhondezi. Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wa mkoa waTemeke (NHIF), Constantine Makala akimuwakilisha kaimu  Mkurungenzi Mkuu wa (NHIF) wa mkoa wa Temeke kumkabidhi msaada wa mashuka 120 Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Temeke Edwin Muhondezi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani