WASHIRIKI MISS MBAGALA 2014 WATINGA GLOBAL
Washiriki wa Miss Mbagala 2014 wakiwa katika pozi la pamoja leo hii katika ofisi za Global Publishers zilizopo Bamaga- Mwenge, Dar. Mhariri Mtendaji wa Global Publishers, Richard Manyota (Kulia) akiwapa maelekezo.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 May
Kampuni ya PR Promotion yatambulisha Miss Redds Mbagala 2014
Afisa Habari Kampuni ya PR Promotion Bw. Victor Mkumbo (kushoto) akitoa maelezo mbele ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu utambulisho wa Miss Redds kwa Kitongoji cha Mbagala kwa mwaka 2014. Katikati ni Mratibu wa Kampuni hiyo Bw. Tesha Japhet na kulia ni Meneja wa Kampuni ya PR Promotion Bw. Gervas Sinsakala.
Baadhi ya warembo watakaoshirki kinyang’anyiro hiko wakiwa wamepozi wakati wa utambulisho wao katika Mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya...
11 years ago
GPL
USIKU WA MISS MBAGALA 2014 NDANI YA DAR LIVE
11 years ago
GPLAMINA SALIM ATWAA TAJI LA MISS MBAGALA 2014
11 years ago
GPLWASHIRIKI WA MISS TABATA 2014 JUKWAANI
11 years ago
Michuzi.jpg)
nkamia aongea na washiriki wa MISS UDOM 2014
.jpg)
.jpg)
11 years ago
GPL
WASHIRIKI WA MISS TEMEKE 2014 HAWA HAPA
11 years ago
GPLWASHIRIKI MISS TANZANIA 2014 WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI
11 years ago
Dewji Blog20 Sep
Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watoa msaada hospitali ya Kilema na Marangu Moshi
Washiriki wa Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 walitoa misaada ya kijamii katika Hospitali za Misheni Kilema na ile ya K.K.K.T Marangu baada ya kutembelea Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro.
Mwakilishi wa Kanda ya Ziwa katika Shindano la Redds Miss Tanzania 2014 Dorine Robert akimpa zawadi ya chandarua mgonjwa Jamila Msafiri aliyelazwa katika Hospitali ya Kilema Wilaya ya Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro jana ambapo warembo 30 wa Miss Tanzania walitoa msaaada mbalimbali ya kijamii...
11 years ago
Dewji Blog19 Sep
Washiriki wa Miss Tanzania 2014 watembelea hifadhi ya taifa ya Mlima Kilimajaro — KINAPA
Warembo wanaoshiriki shindano la Redd’s Miss Tanzania 2014 wametembelea hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kujifunza mambo mengi kuhusiana na hifadhi hiyo ya mlima kilamanjaro. Pichani ni warembo hao wakipiga picha na mdau mkubwa wa masuala ya urembo mkoani Kilimajaro, Athena Mawalla wa mgahawa wa Meku’s Bistro wakati warembo hao walipomtembelea wakiwa njiani kwenda KINAPA.
Warembo wakiwa katika gari njiani kuelekea KINAPA.
Afisa Habari wa Kamati ya Miss Tanzania, Hidan...