Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIKU WA MISS MBAGALA 2014 NDANI YA DAR LIVE

Kwa mara ya kwanza kitongoji cha Mbagala kimejipatia mshindi katika mashindano ya kumsaka mrembo atakayeiwakilisha Mbagala katika mashindano ya Miss Temeke 2014. Taji hilo lilikwenda kwa mrembo Amina Salim katika mashindano hayo yaliyofanyika Juni 7, 2014 ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala,…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

11 years ago

GPL

KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Akina dada wakionyesha baadhi ya kazi za marehemu Steven Charles Kanumba ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live. Filamu, viatu, gitaa na picha ya marehemu Kanumba akiwa na Rais Jakaya Kikwete vikiwa eneo maalum kwa ajili ya Kanumba Day.…

 

10 years ago

Michuzi

Redds Miss Tanzania 2014 kujulikana usiku huu Mlimani City jijini Dar

 Pichani ni Washiriki waliochaguliwa kuingia kwenye hatua ya tano bora katika shindano la Redds Miss Tanzania 2014 linaloendelea hivi sasa ndani ya ukumbi wa Mlimani City,jijini Dar. Mmoja wa Washiriki waliongia katika nafasi ya tanno bora shindano la Redds Miss Tanzania 2014 wakijibu maswali mbalimbali Mmoja wa wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya pichani kulia Ommy Dimpoz akitumbuiza jukwaani akiwa sambamba na msanii Vanessa Mdee mbele ya wageni waalikwa (hawapo pichani),waliofika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani