Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawaziri kambi ya upinzani hawa hapa

KAMBI rasmi ya upinzani bungeni imeunda upya baraza lake kivuli la mawaziri kwa kuingiza wabunge wa vyama vya CUF na NCCR-Mageuzi isipokuwa TLP na DP. Kiongozi wa kambi hiyo bungeni, Freeman Mbowe alitaja orodha ya mawaziri vivuli jana mjini Dodoma kwenye mkutano na waandishi wa habari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Hotuba ya Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Mhe. Freeman Mbowe
1. UTANGULIZI:
Mheshimiwa Spika,

Kwanza kabisa napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kunilinda na kunitunza ili niweze kutumikia taifa langu. Napenda kuishukuru familia yangu kwa msaada mkubwa na uvumilivu hasa katika harakati na shughuli zangu za kisiasa.

Mheshimiwa Spika,Napenda kuchukua nafasi hii pia, kuwashukuru watanzania wote kwa ujumla kwa kupokea na kulea harakati za mabadiliko nchini. Shukrani hizi za pekee ziwafikie wenyeviti...

 

11 years ago

Mwananchi

Kambi ya upinzani yamshukia Spika Anne Makinda

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema kauli ya kuudhi iliyotolewa bungeni juzi jioni na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Frederick Werema imekuzwa na kuyumba kwa Kiti cha Spika.

 

9 years ago

Habarileo

Meya wa kwanza kambi ya upinzani Arusha leo

MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamemchagua Diwani wa Kata ya Sokoni 1, Kalisti Lazaro kuwa mgombea wa nafasi ya Meya wa Jiji la Arusha huku akijihakikishia nafasi hiyo kwani vyama vingine vya upinzani vina diwani mmoja tu.

 

9 years ago

Raia Mwema

Mawaziri hawa watafukuzwa mapema

KWA kuangalia kasi na uongozi wa Rais Dk.

Lula wa Ndali Mwananzela

 

11 years ago

Dewji Blog

Hotuba ya msemaji mkuu wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Mhe. Mch. Peter Simon Msigwa

Peter-Msigwa1

Hotuba Ya Msemaji Mkuu Wa Upinzani-maliasili Na Utalii Final Version 2014 by moblog

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliotemwa Azam FC hawa hapa

HATIMAYE uongozi wa Azam FC umetaja majina ya wachezaji iliowatema huku ikidaiwa kuwa mbioni kumnasa kipa wa Yanga, Ally Mustapha ‘Barthez’, ambaye pia anawaniwa na Simba. Azam FC, awali ilitangaza...

 

10 years ago

Michuzi

Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni yaandaa futari wakati wa kikao cha ukawa jijini Dar es salaam

Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Willibroad Slaa akishiriki futari iliyoandaliwa na Ofisi ya Kambi ya Upinzani Bungeni wakati wa kikao cha Viongozi Wakuu wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) na wabunge wa umoja huo kilichofanyika jana jijini Dar es Salaam kujadili mikakati mbalimbali ya ushindi kuelekea uchaguzi mkuu. Kushoto kwake ni Mbunge wa CUF, Ali Khamis Seif (Mkoani) na kushoto kwake ni Naibu Katibu Mkuu wa NLD Zanzibar, Ahmad Hemed. Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wajumbe Bunge la Katiba hawa hapa

SERIKALI imetangaza majina 201 ya wajumbe kutoka makundi mbalimbali nchini walioomba kuteuliwa ili kuingia kwenye Bunge Maalumu la Katiba. Kabla ya kutangaza majina hayo kwa niaba ya Rais Jakaya Kikwete,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani