Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lukuvi: Tutarudisha maeneo yote ya wazi yaliyoporwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itayakomboa maeneo ya wazi yaliyovamiwa na wajanja ambayo kwa mkoa wa Dar es Salaam pekee yanafikia 104.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Maeneo ya wazi Kinondoni na hujuma za wawekezaji

WAKATI maeneo ya Manispaa ya Kindondoni Dar es Salaam yakikabiliwa na migogoro ya ardhi, baadhi ya watendaji wa manispaa hiyo hawako tayari kuepusha migogoro hiyo. Hali hiyo inatokana na hivi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waliojigawia maeneo ya wazi wapewa siku 7

MBUNGE wa Jimbo la Bagamoyo, Dk. Shukuru Kawambwa, ametoa siku saba kwa watu wote waliojipimia na kuweka nguzo katika maeneo ya wazi na mabondeni jimboni humo kuhakikisha wanaondoa nguzo zao....

 

9 years ago

StarTV

Lukuvi awaonya wawekezaji wasioendeleza maeneo yao

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya wawekezaji walionunua maeneo mbalimbali nchini bila ya kuyaendeleza na kuwataka wayarudishe kwa wananchi.

Kauli hiyo ameitoa siku mbili baada ya kuapishwa kuwa waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo na kuahidi kuwa atahakikisha wananchi wanamilikishwa ardhi kisheria.

Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi ni miongoni mwa wizara yenye migogoro mingi ya ardhi hali inayopelekea Waziri mwenye dhamana William Lukuvi...

 

9 years ago

Habarileo

‘Dar ina maeneo ya wazi 180 yaliyovamiwa’

JIJI la Dar es Salaam lina maeneo ya wazi 180 ambayo yamevamiwa, ambapo 111 yapo Halmashauri ya Kinondoni, 50 yapo Ilala na Temeke yapo 19. Hayo yamebainishwa wakati Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba, walipozungumza na waandishi wa habari.

 

10 years ago

StarTV

China yapiga marufuku uvutaji wa sigara maeneo ya wazi.


Watakaokiuka sheria ya uvutaji sigara mjini Beijing kupigwa faini

Serikali ya China,imepiga marufuku kuvuta sigara katika maeneo yote ya wazi katika mji wa Beijing.

Maelfu ya maafisa wameanza kufanya ukaguzi katika maeneo yote ya wazi na watakaokiuka kufuata sheria hiyo watapigwa faini.

Hata hivyo China ina wavuta sigara milioni mia tatu wakati sheria ya kusitisha wavutaji sigara katika maeneo ya wazi ya mji wa Beijing ilipopitishwa kwa mara ya kwanza na kushindwa kutekelezeka.

Ripoti inasema...

 

9 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA: UWEKAJI WAZI WA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA KATIKA MIKOA YOTE YA UNGUJA NA PEMBA

Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.

 

9 years ago

StarTV

Uuzwaji matunda, vyakula maeneo ya wazi ni marurufu nchini ili Kudhibiti Kipindupindu

Serikali imepiga marufuku wafanyabiashara wanaouza matunda yaliyokatwa na chakula katika maeneo ya wazi nchi nzima ili kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa takribani 21 Tanzania Bara.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa tamko hilo la serikali na kusema ili kuumaliza ugonjwa huo ni lazima maambukizi mapya yadhibitiwe na atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.

Tamko hilo limetolewa wakati watu elfu 11,257...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani