Uuzwaji matunda, vyakula maeneo ya wazi ni marurufu nchini ili Kudhibiti Kipindupindu
Serikali imepiga marufuku wafanyabiashara wanaouza matunda yaliyokatwa na chakula katika maeneo ya wazi nchi nzima ili kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa takribani 21 Tanzania Bara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa tamko hilo la serikali na kusema ili kuumaliza ugonjwa huo ni lazima maambukizi mapya yadhibitiwe na atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
Tamko hilo limetolewa wakati watu elfu 11,257...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania21 Aug
Dar yapiga marufuku vyakula mitaani kudhibiti kipindupindu
Na Waandishi wetu, Dar es Salaam
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, amepiga marufuku uuzwaji wa vyakula na matunda katika maeneo yasiyorasmi.
Agizo hilo limelenga kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu unaoendelea kusambaa katika jiji la Dar es Salaam, ambapo hadi sasa watu watatu wameripotiwa kupoteza maisha.
Sadick alitoa amri hiyo jijini Dar es Salaam jana wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari na kusema wagonjwa wa kipindupindu wamefikia 56.
“Wagonjwa...
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
WHO yatoa dawa za milioni 42.2 ili kupambana na Kipindupindu nchini
Na Ally daud-Maelezo
Wizara ya Afya na Ustawi wa jamii imepokea msaada wa dawa za kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu nchini kutoka Shirika la Afya Duniani zenye thamani...
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Ummy azidi kukemea uuzwaji holela wa matunda
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake.
Mwalimu akionesha msisitizo wa jambo alipokuwa akisoma taarifa yake.
Ummy Mwalimu (kushoto) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).
Mkutano ukiendelea.
TAMKO LILILOTOLEWA NA MHE. UMMY MWALIMU, WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, KUHUSU HALI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI 28 DESEMBA 2015
Ndugu Waandishi wa Habari,
Ninapenda kutoa taarifa kwa...
9 years ago
Dewji Blog09 Nov
Halmashauri nchini zashauriwa kutenga maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo
Ofisa michezo wa wilaya ya Manyoni, Salumu Mohamedi Mkuya akiongoza ratiba ya michezo ya tamasha iliyofanyika kwenye viwanja vya shule ya sekondari Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Wilaya ya Manyoni, Jesca Mununo na Katibu wa CWT Wilaya ya Manyoni, Nalea Nyamuyo wakibadilishana mawazo wakati wa tamasha la michezo kwa shule za msingi na sekondari za tarafa ya Kilimatinde,wilayani Manyoni.
Mwenyekiti wa CWT Mkoa wa Singida, Arani Jumbe ( wa nne kutoka kulia), Mwenyekiti wa...
10 years ago
Mwananchi21 Jun
MAONI : Sheria zisimamiwe kudhibiti uuzwaji holela wa dawa
9 years ago
Raia Tanzania07 Sep
Vyakula shuleni na kipindupindu
AGOSTI 18, 2015 Dar es Salaam ilipata taarifa mbaya ya mlipuko wa Kipindupindu, mtu mmoja aliugua na kufariki.
Ingawa baadaye ulisambaa hadi Morogoro, kwa sasa jijini hapa idadi inaongezeka siku hadi siku. Takwimu za mwishoni mwa mwezi uliopita zinaonyesha kuna wagonjwa 417.
Kwa mujibu wa maofisa afya, ugonjwa huu unasababishwa na uchafu hasa ulaji wa kinyesi kibichi bila kufahamu na hivyo kushauri jamii kuzingatia usafi hasa waendapo maliwatoni, wahakikishe wananawa kwa sabuni kila...
9 years ago
Habarileo30 Aug
Moro wajipanga kudhibiti kipindupindu
MKUU wa mkoa wa Morogoro (RC), Dk Rajab Rutengwe, amewataka watendaji wa kata na mitaa katika halmashauri za mkoa huo kuhakikisha kila mmoja anawajibika ipasavyo kusimamia suala la usafi wa mazingira na kuzuia uuzaji holela wa vyakula na matunda.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LN40K3U6fb0/Xl9-WAiOEZI/AAAAAAALg3s/bt5P9hbT0b4TTiQMr8b-0dWcb16RIr8ogCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B10.33.07.jpeg)
Tufanye yafuatayo ili kuvuna matunda ya uchumi wa kidijitali
![](https://1.bp.blogspot.com/-LN40K3U6fb0/Xl9-WAiOEZI/AAAAAAALg3s/bt5P9hbT0b4TTiQMr8b-0dWcb16RIr8ogCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B10.33.07.jpeg)
Katika eneo la kilimo nako teknolojia inabadilisha mambo kuwa bora zaidi. Wakulima katika nchi za...
9 years ago
Habarileo29 Aug
WHO yatoa dawa, fedha kudhibiti kipindupindu
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imepewa msaada wa vitu mbalimbali zikiwemo dawa zenye thamani ya Sh milioni 42.2 pamoja na fedha taslimu milioni 160 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) ili kusaidia mapambano dhidi ya ugonjwa wa kipindupindu.