MAONI : Sheria zisimamiwe kudhibiti uuzwaji holela wa dawa
Chama cha Wafamasia (PST) juzi kilitoa taarifa kuhusu matumizi mabaya ya dawa yanayosababishwa na kuwapo kwa maduka holela ambayo hutoa dawa bila kuzingatia kanuni , maadili na taratibu za kitabibu na matokeo yake ni kuzorotesha afya za wananchi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo05 Jan
Kata ya Lemara yakabiliwa na uuzwaji holela wa viwanja
KATA ya Lemara jijini hapa, inakabiliwa na changamoto ya uuzwaji holela wa viwanja sambamba na baadhi ya watu kuziba njia za watembea kwa miguu na matumizi mengine.
9 years ago
Global Publishers28 Dec
Ummy azidi kukemea uuzwaji holela wa matunda
Waziri wa afya, Maendeleo ya jamii, Wazee na watoto, Ummy Mwalimu akisoma taarifa yake.
Mwalimu akionesha msisitizo wa jambo alipokuwa akisoma taarifa yake.
Ummy Mwalimu (kushoto) akisikiliza maswali yaliyokuwa yakiulizwa na wanahabari (hawapo pichani).
Mkutano ukiendelea.
TAMKO LILILOTOLEWA NA MHE. UMMY MWALIMU, WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO, KUHUSU HALI YA UGONJWA WA KIPINDUPINDU NCHINI 28 DESEMBA 2015
Ndugu Waandishi wa Habari,
Ninapenda kutoa taarifa kwa...
10 years ago
Habarileo08 Nov
Sheria mpya kudhibiti dawa za kulevya yaja
SERIKALI imetunga Sheria mpya kali zaidi itakayoondoa changamoto zilizokuwa zikijitokeza wakati wa matumizi ya Sheria ya Kuzuia Biashara Haramu ya Dawa za Kulevya Namba 9 ya mwaka 1995 inayotumika sasa.
9 years ago
Habarileo04 Jan
Wazuiwa chakula holela kudhibiti kipindupindu
WAKAZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Maswa, mkoani Simiyu wametahadharishwa kujikinga na kipindupindu, ugonjwa ulioingia kwa kasi wilayani humo kutoka wilaya jirani ya Kwimba mkoani Mwanza.
9 years ago
StarTV17 Dec
Uuzwaji matunda, vyakula maeneo ya wazi ni marurufu nchini ili Kudhibiti Kipindupindu
Serikali imepiga marufuku wafanyabiashara wanaouza matunda yaliyokatwa na chakula katika maeneo ya wazi nchi nzima ili kuzuia mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu ulioenea katika mikoa takribani 21 Tanzania Bara.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu ametoa tamko hilo la serikali na kusema ili kuumaliza ugonjwa huo ni lazima maambukizi mapya yadhibitiwe na atakayekiuka agizo hilo atachukuliwa hatua za kisheria.
Tamko hilo limetolewa wakati watu elfu 11,257...
5 years ago
MichuziWAKUU WA SHULE ENDELEENI KUDHIBITI MICHANGO HOLELA-MAJALIWA
Wadau wa Elimu wa Wilaya ya Ruangwa, wakipiga makofi, wakati wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, kwenye kikao cha maendeleo ya elimu, kilichofanyika katika ukumbi wa Narung’ombe, Ruangwa, Lindi. Machi 14, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
………………………………………
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa...
10 years ago
MichuziTumieni namba za simu kudhibiti uendeshaji holela - UDA
Miongoni mwa mabasi ya shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) yanayofanyakazi katika maeneo mbali mbali jijini Dar es Salaam. Na kila basi lina namba za simu ili kurahisisha abiria na watumiaji wa mabasi hayo kutoa maoni juu huduma zitolewazo na mabasi ya shirika hilo.
Abiria na watumiaji wengine wa barabara Dar es Salaam wameombwa kusaidia katika kudhibiti uendeshaji holela na tabia zisizokubalika zinazofanywa na baadhi ya madereva wa mabasi ya abiria na makondakta wa Dar es Salaam...
10 years ago
Habarileo16 Feb
Marufuku kutangaza holela utafiti wa dawa
WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid amepiga marufuku asasi zinazojishughulisha na tafiti za dawa za binadamu, kutangaza matokeo ya utafiti kwenye vyombo vya habari, bila kufuata misingi iliyowekwa ikiwemo kuihusisha Wizara yake.
10 years ago
VijimamboKITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU CHAZUNGUMZIA CHANGAMOTO ZA UTEKELEZAJI WA SHERIA YA KURA YA MAONI YA KATIBAâ€
KITUO cha Sheria na Haki za...