Wachimbaji wasioendeleza maeneo waonywa
WIZARA ya Nishati na Madini imesema inaendelea kuwanyang’anya wachimbaji wakubwa wote walioshikilia leseni za maeneo ya uchimbaji lakini hawayaendelezi. Naibu Waziri wa wizara hiyo, Stephen Masele, alitoa kauli hiyo bungeni...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV15 Dec
Lukuvi awaonya wawekezaji wasioendeleza maeneo yao
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amewaonya wawekezaji walionunua maeneo mbalimbali nchini bila ya kuyaendeleza na kuwataka wayarudishe kwa wananchi.
Kauli hiyo ameitoa siku mbili baada ya kuapishwa kuwa waziri mwenye dhamana ya wizara hiyo na kuahidi kuwa atahakikisha wananchi wanamilikishwa ardhi kisheria.
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Mkazi ni miongoni mwa wizara yenye migogoro mingi ya ardhi hali inayopelekea Waziri mwenye dhamana William Lukuvi...
9 years ago
StarTV30 Dec
Serikali yatakiwa kuwapa maeneo, masoko wachimbaji wadogo
Wachimbaji wadogo wadogo katika machimbo ya bati ya Nyaruzumbula wilayani Kyerwa mkoani Kagera wameilalamikia Serikali kwa kuwanyima maeneo ya kuchimbia na kutoa leseni kwa wachimbaji wakubwa.
Aidha wachimbaji hao wamesema wanaathirika na bei ndogo inayotumika kununulia madini hayo kutoka kwa madalali ambao hunufaika baada ya kuuza madini hayo kwa bei kubwa kwa wateja wakubwa.
Machimbo ya madini ya bati yaliyopo katika kijiji cha Nyaruzumbula wilayani Kyerwa Mkoani Kagera ,ambayo...
9 years ago
StarTV01 Dec
Wachimbaji wadogo walia na Serikali kwa uvamizi maeneo ya machimbo
Wachimbaji Wadogo katika kijiji cha Samina wamedai kuwa Serikali haiwajali na imekuwa ikiwapa ahadi zisizokamilika hali iliyochangia wachimbaji hao kuvamia maeneo hatarishi na kujitafutia riziki.
Wakiongea na Mkuu wa Mkoa wa Geita Fatma Mwassa wamesema kuwa waliahidiwa kutafutiwa maeneo ya uchimbaji lakini maeneo waliyopewa hayakuwa na dhahabu hali iliyokatisha tamaa na kuchangia kuongezeka kwa vijana wasio na ajira
Mkuu wa Mkoa Fatma Mwassa amewapa nafasi wachimbaji wataje maeneo...
11 years ago
Habarileo02 Aug
Halmashauri Kibaha yatisha wasioendeleza viwanja
HALMASHAURI ya Mji wa Kibaha mkoani Pwani, imewataka watu waliochukua viwanja kwenye eneo la kitovu cha mji, waviendeleze na endapo watashindwa watanyang’anywa viwanja hivyo.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-KRjKHmERqpU/VZqTKj1dMSI/AAAAAAAHnUk/pg6ndeyG-AA/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-07-06%2Bat%2B5.36.52%2BPM.png)
9 years ago
Mwananchi13 Sep
Wasanii waonywa
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Wanaoihujumu NHIF waonywa
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewaonya wanachama wake na wadau wengine wanaotumia vibaya vitambulisho vya matibabu vya mfuko huo, kwamba ikithibitika watachukuliwa hatua za kisheria ikiwamo kufikishwa...