Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii waonywa

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewaonya wasanii kutotumia lugha ya matusi katika kipindi ambacho wanatumika kwenye kampeni mbalimbali za wagombea, watambue kuwa hakuna aliye juu ya sheria.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Mwema

Ilikuwa hafla ya ghafla kwa ajili ya wasanii kuwaaga wasanii wakongwe

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

10 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE WAWAOMBEA DUA WASANII WENZAO WALIOFARIKI DUNIA

Mwenyekiti wa Umoja wa Wazazi,Abdallah Bulembo (katikati) akiwasili katika viwanja vya karimjee jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuungana na wasanii kwenye dua maalum ya kuwaombea wasanii waliotangulia mbele ya haki.Kulia ni Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity,Steven Mengele maarufu kama Steve Nyerere.Msanii wa vichekesho ambaye pia ni muinjilisti kwa sasa Emanuel Mgaya Maarufu kama Masanja Mkandamizaji akiongoza dua kwa upande wa wakristo huku Msanii Jacob Stephen JB akiwa ameishikilia...

 

10 years ago

Bongo5

AY atoa funzo kwa wasanii wenye malengo ya kufanya collabo na wasanii wa nje

Wewe ni msanii mwenye mawazo ya kuja kufanya collabo na wasanii wa nje ya Tanzania? AY ametoa elimu ndogo kupitia uzoefu wake, wa nini cha kufanya ili collabo yako iwe na maana na ikuletee matunda. “Cha kwanza watu wajue lazima uje na style yako usikae kama wanna be” AY a.k.a ‘mzee wa Zigo’ ameiambia 255 […]

 

11 years ago

Michuzi

wasanii kutoka Marekani wawasili nchini kuendesha mafunzo kwa wasanii wa tanzania

Ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete kwa wasanii wa Tanzania kuwa atachangia kuinua kiwango cha ujuzi na weledi wao kwa kuwaandalia mafunzo yatayoendeshwa na magwiji wa sanaa kutoka Marekani sasa imetimia.

TerrenceAkizindua Kampeni ya Uzalendo kwa Vijana inayoendeshwa na Muungano wa Wasanii Tanzania kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma mwezi uliopita, Juni 14, 2014, Rais Kikwete aliahidi kuchangia kuinua kiwango cha usanii na weledi wa wasanii wa...

 

9 years ago

Bongo5

Waziri Nape Nnauye afafanua jinsi wasanii chipukizi watakavyonufaika na sheria ya Radio na TV kuwalipa wasanii

Katibu Mwenezi wa Itikadi wa CCM Nape NNauye akifuatilia  mchezo kwa umakini mkubwa

Kumeibuka maswali mengi toka ilipotangazwa sheria ya wanamuziki wa Tanzania kulipwa na vituo vya Radio na TV kwa kutumia kazi zao, moja wapo ni kuhusu kama sheria hii itakuwa na manufaa kwa wasanii wachanga au itachangia kuwapa wakati mgumu zaidi wa kupata nafasi ya kazi zao kuchezwa.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye amefafanua jinsi wasanii chipuziki watakavyonufaika na utaratibu huo unaotarajiwa kuanza kutumika mwezi January,2016.

“Wapo watu wanasema kwamba...

 

10 years ago

Michuzi

hafla ya ugawaji wa Mirabaha kwa Wabunifu na wasanii Zanzibar - Balozi Seif aonya walaghai wa kazi za wasanii

Othman Khamis Ame, OMPR -  ZNZ
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alionya kwamba wananchi wanalazimika kujenga utamaduni wa kuthamini kazi za wabunifu na wasanii kwa kuona fahari kuzilipia bila ya shuruti pale wanapozitumia jambo ambalo ni uungwana na kinyume chake inahesabika kuwa ni wizi. Alisema Serikali kupitia Ofisi ya Hakimiliki, Bodi ya Hakimiliki na Jumuiya ya Hakimiliki Zanzibar { COSOZA } itaendelea kusimamia kazi za wabunifu na wasanii ili kuona kuwa maslahi,...

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakandarasi Iringa waonywa

WAKANDARASI mkoani hapa wametakiwa kufanya kazi  zao kwa kuzingatia sheria, ubora na ujuzi unaokidhi viwango vya kimataifa huku wakitanguliza uzalendo katika kutekeleza miradi ya maendeleo wanayokabidhiwa na halmashauri husika. Rai...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani