Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanaoihujumu NHIF waonywa

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umewaonya wanachama wake na wadau wengine wanaotumia vibaya vitambulisho vya matibabu vya mfuko huo, kwamba ikithibitika watachukuliwa hatua za kisheria ikiwamo kufikishwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Wasanii waonywa

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) limewaonya wasanii kutotumia lugha ya matusi katika kipindi ambacho wanatumika kwenye kampeni mbalimbali za wagombea, watambue kuwa hakuna aliye juu ya sheria.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanachama CHADEMA waonywa

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mkoa wa Kilimanjaro na Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, amewaonya baadhi ya Wanachama wa chama hicho wenye lengo la kukivuruga kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanunuzi wa ardhi waonywa

Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani, imewataka wananchi wake na wageni wanaotaka kunununua maeneo katika wilaya hiyo, wapitishe maombi yao katika halmashauri kabla ya kununua.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachimba madini waonywa

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu ameelezea kusikitishwa na uharibifu wa Barabara ya Songea-Mbinga unaofanywa na wachimbaji wadogo wa madini karibu na Gereza la Kitai, wilayani Mbinga.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wafugaji wavamizi waonywa

MKURUGENZI wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera, Nassibu Mmbaya, ametoa onyo kwa wafugaji wanaovamia misitu wilayani hapa na kutaka waache mara moja tabia hiyo. Mmbaya alitoa onyo hilo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakandarasi Iringa waonywa

WAKANDARASI mkoani hapa wametakiwa kufanya kazi  zao kwa kuzingatia sheria, ubora na ujuzi unaokidhi viwango vya kimataifa huku wakitanguliza uzalendo katika kutekeleza miradi ya maendeleo wanayokabidhiwa na halmashauri husika. Rai...

 

11 years ago

Mwananchi

Wahandisi nchini waonywa

Wahandisi na mafundi nchini wameonywa kutokubali kutumiwa na wanasiasa badala yake wafanye kazi kwa uadilifu na kwa kuzingatia taaluma zao.

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wa afya waonywa

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza wakati za uzinduzi wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wadau wa afya wakifuatilia uzinduzi wa wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana. Picha na Joseph Zablon.
Wafanyakazi katika sekta ya afya wanadaiwa kutumia muda wa asilimia 20 na isiyozidi 30 kwa mwa mwezi jambo ambalo ni...

 

9 years ago

Habarileo

Waajiri wa madereva waonywa

SERIKALI itaanza kuchukua hatua za kisheria kwa waajiri watakaokiuka makubaliano katika mikataba mipya ya madereva kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu, huku madereva wakionywa kuacha tishio la migomo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani