Watumishi wa afya waonywa
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza wakati za uzinduzi wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana.
Baadhi ya wadau wa afya wakifuatilia uzinduzi wa wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana. Picha na Joseph Zablon.
Wafanyakazi katika sekta ya afya wanadaiwa kutumia muda wa asilimia 20 na isiyozidi 30 kwa mwa mwezi jambo ambalo ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo14 Feb
Watumishi wasioripoti vituo vya kazi waonywa
WATUMISHI wa Serikali katika kada mbalimbali wilayani Kaliua Mkoa wa Tabora wanaokwepa kuripoti katika vituo vyao vipya vya kazi kwa visingizio mbalimbali, wametakiwa kuacha tabia hiyo mara moja, kwani kama mtumishi wa serikali unatakiwa kuwa tayari kutumika sehemu yoyote ile.
9 years ago
Habarileo18 Nov
Wataalamu wa afya mkoa wa Kilimanjaro waonywa
SERIKALI mkoani Kilimanjaro imetishia kuwawajibisha wataalamu wa sekta ya afya katika halmashauri zote za wilaya mkoani hapa iwapo watazembea na kusababisha ugonjwa wa kipindupindu kuingia mkoani hapa.
10 years ago
MichuziWLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA
9 years ago
Mwananchi29 Dec
Watumishi afya wanaomiliki hospitali kuchunguzwa
10 years ago
StarTV19 Jan
Watumishi wa afya waendelea kunyooshewa kidole.
Na Sudi Shaaban,
Mwanza.
Sekta ya afya nchini imetajwa kuwa chanzo kikubwa cha kuisabishia serikali lawama kutoka kwa wananchi kutokana na utendaji mbovu wa watumishi ambao umekuwa ukilalamikiwa kila kukicha bila kuchukuliwa hatua yeyote.
Pia sekta hiyo imeendelea kukabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo ukosefu wa vifaa tiba pamoja na dawa jambo ambalo bado ni kilio kikubwa kwa serikali na wananchi.
Nia ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo ni kuhakikisha mkoa unapiga hatua katika...
9 years ago
Mwananchi28 Dec
Uhaba watumishi afya waitesa Lindi
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Tatizo la watumishi sekta ya afya lapungua
NAIBU Katibu Mkuu anayeshughulika na afya katika Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk. Deo Mtasiwa, amesema tatizo la ukosefu wa watumishi wa sekta...
11 years ago
Dewji Blog05 Jul
Singida yakabiliwa na Upungufu wa watumishi sekta ya Afya
Mkuu wa wilaya ya Singida.Queen Mlozi, akizungumza kwenye kikao cha mrejesho wa utafiti uliofanywa na timu ya ufuatiliaji na uwajibikaji jamii (Social Accountability Monitoring-SAM) kilichofanyika mjini Singida.Timu ya SAM kwa kushirikiana na baadhi ya madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Singida,kwa pamoja walifanya utafiti juu ya uwajibikaji kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya.Kushoto ni mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Singida,Idd Mnyampanda nas kulia ni mwenyekiti wa kikao...
9 years ago
StarTV19 Dec
Watumishi Wizara ya Afya wahimizwa kuwahi ofisini
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Hamis Kigwangala amesema ni marufuku kwa mtumishi wa wizara hiyo kuchelewa kazini ili kuendana na kasi ya maendeleo.
Uamuzi huo umekuja baada ya Naibu waziri huyo kuingia kazini saa 12 na robo asubuhi na kukuta Waziria, Katibu Mkuu na Mkurugenzi wa rasilimali watu kuwa miongoni mwa watumishi waliowahi wakati watumishi wengine wakiwa bado hawajafika ofisini.
Zama za uwajibikaji, ndio hali halisi iliyojitokeza katika lango kuu...