Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wataalamu wa afya mkoa wa Kilimanjaro waonywa

SERIKALI mkoani Kilimanjaro imetishia kuwawajibisha wataalamu wa sekta ya afya katika halmashauri zote za wilaya mkoani hapa iwapo watazembea na kusababisha ugonjwa wa kipindupindu kuingia mkoani hapa.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WATAALAMU WA AFYA ENDELEZENI USIMAMIZI SHIRIKISHI WA AFYA MAZINGIRA SHULENI NA KWENYE JAMII-DKT.GWAJIMA

Naibu Katibu Mkuu akikagua kitabu cha kumbukumbu za Wagonjwa katika moja ya kituo cha Afya mkoani Manyara wakati wa Ziara yake ya kukagua shughuli za Afya katika shule na kwenye jamii.



Naibu Katibu Mkuu akizungumza na uongozi pamoja na wananchi mara baada yakukagua kituo hicho cha Afya kilicho pokea kiasi cha Mil.200 kwaajili ya ujenzi huo (Picha zote na OR-TAMISEMI)



Naibu Katibu Mkuu OR-TAMISEMI, anayeshughulikia Afya, Dkt. Dorothy Gwajima akipata chakula na kuhakiki ubora wa chakula...

 

10 years ago

Michuzi

Watumishi wa afya waonywa

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Seif Rashid akizungumza wakati za uzinduzi wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana.

Baadhi ya wadau wa afya wakifuatilia uzinduzi wa wa Mpango wa Maboresho kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Afya (HRHSP 2014/2019), uliofanyika Dar es Salaam jana. Picha na Joseph Zablon.
Wafanyakazi katika sekta ya afya wanadaiwa kutumia muda wa asilimia 20 na isiyozidi 30 kwa mwa mwezi jambo ambalo ni...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR AFANYA ZIARA KATIKA WITUO VYA AFYA MKOA WA KASKAZINI ''A'' UNGUJA

Mkuu wa kituo cha Afya cha Mkokotoni Mcha Haji Makame akitoa taarifa kwa Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Mahmoud Thabit Kombo (alievaa miwani) alipofanya ziara ya kutembelea vituo vya afya vya Wilaya Kaskazini A. Wa kwanza (kushoto) mwakilishi wa WHO Zanzibar Dkt. Andymicheel Ghirmany akifuatiwa na mwakilishi wa UNICEF Zanzibar Bibi Fransisca.Mkuu wa kituo cha Afya Mkokotoni akiwaonyesha wawakilishi wa UNICEF Bibi Fransisca na mwenzake wa WHO Ghirmany jiko la kuchoma takataka za Hospitali...

 

9 years ago

StarTV

Wataalamu wa afya wahimizwa kutumia taaluma zao kwakufanya tafiti

Wataalamu wa Sekta ya afya nchini wanapaswa kutumia taaluma yao kutafiti na kugundua visababishi vya magonjwa mbalimbali yanayoathiri jamii hali itakayosaidia Serikali kukabiliana na magonjwa husika.

Tafiti zinaonyesha kuwa magonjwa mengi yamekuwa yakiikumba jamii kutokana na kukosekana kwa watalaamu wa kubaini visababishi vya maradhi hayo.

Mkuu wa chuo kikuu kishiriki cha Sayansi ya tiba cha  KCMU College kilichopo mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro  Prof.Elgibert Kessy anaona ipo haja kwa...

 

5 years ago

Michuzi

KIWANDA CHA A TO Z KIPO MBIONI KUTENGENEZA VAZI LA WATAALAMU WA AFYA LA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA MLIPUKO



amanda wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha Jonathan Shana akipokea barakoa 2000 kwa ajili ya Jeshi la Polisi mkoani Arusha zilizotolewa na Kampuni ya A to Z ya mkoani hapa ikiwa ni kuendeleza Juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 picha zote na Ahmed Mahmoud Arusha

Viongozi wa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wakifuatilia hafla ya kupokea vifaa vya kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa Kali ya mapafu Covid 19 iliyofanyika kwenye Ukumbi wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC CHONGOLO AAGIZA WATAALAMU WA AFYA KUTOA ELIMU YA KUJIKINGA NA CORONA KWENYE VITUO VYA DALADALA, NYUMBA ZA IBADA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo amewaagiza wataalaamu wa Afya Wilayani hapo kuanza mara moja kutoa elimu ya kujikinga na virusi vya Corona kwenye nyumba za Ibada ikiwemo Makanisani na Misikitini.

Aidha Mhe. Chongolo ameagiza pia elimu hiyo kutolewa kwenye vituo vya daladala ili kuwasaidia wananchi kutambua namna ya kutumia na kujikinga na Virusi hivyo.

Mhe. Chongolo ametoa agizo hilo leo katika kikao cha zarura kilichofanyika katika ukumbi wa Afya ambapo kimehusisha Mkurugenzi wa...

 

11 years ago

Michuzi

Mkutano wa tisa wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamalizika katika ngazi ya wataalamu mjini Zanzibar

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki Amantius C. Msole akifuatilia kwa jambo kwa makini wakati wa mkutano wa Kisekta Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaoendelea katika ukumbi wa Zanzibar Beach Resort mjini Unguja Zanzibar. Mkutano huo unaendelea katika ngazi ya Makatibu Wakuu. Wajumbe wa Mkutano wa Kisekta wa Baraza la Mawaziri wa Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiendelea na majadiliano ya Mkutano huo unaoendelea katika ukumbi wa...

 

11 years ago

Michuzi

mchoro wa kufikirika wa mkoa wa kilimanjaro

Mchoro wa kubuni baada ya kouna http://issamichuzi.blogspot.se/2014/01/mkoa-wa-kilimanjaro-kuanzisha-mji-wa.html  Picha hii inaonyesha muonekano wa mji wa kisasa wenye kuzingatia utunzaji wa mazingira.

 

11 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA KILIMANJARO AKUTANA NA WADAU WA MICHEZO


Katibu tawala mkoa wa Kilimanjaro Dk Issa Faisal akizungumza wakati wa kikao cha wadau wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,kilichofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Mdau namba moja wa michezo mkoa wa Kilimanjaro,mkuu wa mkoa Leonidas Gama akizungumza jambo wakati wa kikao hicho. Wadau wakifuatilia hoja mbalimbali katika mkutano huo.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani