Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simbachawene awaonya wajumbe

MJUMBE wa Bunge Maalumu, George Simbachawene, amewaonya wajumbe wenzake waache kumbeza Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Joseph Warioba na rasimu ya Katiba iliyotolewa na tume hiyo.  Simbachawene alitoa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

‘Msipofuata kanuni, tusilaumiane,’ Sitta awaonya wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]

>Sitta aasa wajumbe wafanye kazi iliyowapeleka Dodoma bila manung’uniko wala lawama.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM



 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, Prof. Suffian Bukurura, wakati alipokuwa anatoa taarifa ya Bodi hiyo, katika Kikao kilichofanyika Ukumbi wa Polisi, jijini Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mwakilishi wa Inspekta Jenerali wa Polisi...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI SIMBACHAWENE AKUTANA NA WAJUMBE WA BODI YA SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI JESHI LA POLISI, JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akizungumza na Wajumbe wa Bodi ya Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Polisi, katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Wizara, jijini Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Prof. Suffian Bukurura, na kushoto ni Katibu wa Bodi, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), John Massawe. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.   Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kulia), akimsikiliza...

 

5 years ago

Michuzi

MWILI WA BABA MZAZI WA GEORGE SIMBACHAWENE , MAREHEMU BONIFACE SIMBACHAWENE WAZIKWA KIJIJINI PWAGA, JIMBO LA KIBAKWE WILAYANI MPWAPWA


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene na Mkewe Mariana Simbachawene, wakiweka picha ya Baba Mzazi wa waziri huyo Marehemu Boniface Simbachawene wakati wa ibada ya mazishi yaliyofanyika katika Kijiji cha Pwaga kilichopo Jimbo la Kibakwe , wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lililohifadhi mwili wa Baba Mzazi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wajumbe Kundi la 201 watoa tamko dhidi ya wanaolichafua Bunge Maalum la Katiba na Wajumbe wa kundi hilo

PIX 1

Askofu Amos Muhagachi akitoa tamko juu ya tuhuma mbalimbali dhidi ya kundi la 201 la wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba jana 03 Septemba, 2014 katika Ukumbi wa Spika, Mjini Dodoma.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma.

WAWAKILISHI wa Taasisi za dini wa Bunge Maalum la Katiba toka wajumbe 201 wametoa tamko lao dhidi ya tuhuma mbalimbali zinazoendelea katika kulichafua Bunge hilo ikiwemo baadhi ya wajumbe wa kundi hilo wakituhumiwa kudaiwa kupewa rushwa.

Tamko hilo limetolewa jana 03 Septemba,...

 

11 years ago

Habarileo

RC awaonya wafugaji

SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda awaonya ma-DC wababe

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonya Wakuu wa Wilaya wanaotawala kibabe, akitaka waache mara moja mbinu hiyo ya kiutawala kwani inajenga uadui, chuki na uhasama.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awaonya Ulanga

RAIS Jakaya Kikwete amewatahadharisha wananchi wa Wilaya ya Ulanga kuwa wakizidi kulumbana kuhusu mipaka ya kuigawa wilaya hiyo bila kufikia maafikiano, watakosa wilaya mpya licha ya kuwa sehemu ya ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri awaonya wafanyabiashara

Waziri wa Fedha, Saada Mkuya amesema Serikali haina mpango wa kubadili ukusanyaji wa kodi kupitia mashine za elekroniki EFDS na kwamba, ipo tayari kupambana na wafanyabiashara wote wanaopingana na utaratibu huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani