Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kikwete awaonya Ulanga

RAIS Jakaya Kikwete amewatahadharisha wananchi wa Wilaya ya Ulanga kuwa wakizidi kulumbana kuhusu mipaka ya kuigawa wilaya hiyo bila kufikia maafikiano, watakosa wilaya mpya licha ya kuwa sehemu ya ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Kikwete awaonya viongozi wa dini

kikweteNa Kadama Malunde, Shinyanga

RAIS Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini kutoruhusu siasa kufanyika kwenye makanisa yao kwani hali hiyo italifanya taifa liingie kwenye machafuko.

Aliyasema hayo jana wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu na kusimikwa kwa Askofu mpya wa Kanisa Katoliki Jimbo la Shinyanga, Liberatus Sangu, iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Mama Mwenye Huruma la Ngokolo mjini hapa na kuongozwa na Askofu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Kardinali Polycarp Pengo.

Rais Kikwete...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete awaonya vijana wa CCM

>Rais Jakaya Kikwete amewataka vijana wa  CCM kutokuwa makuwadi na madalali wa wagombea urais katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba, mwaka huu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ulanga wachachamaa

WANANCHI wa Tarafa ya Malinyi Wilayani ya Ulanga mkoani Morogoro, wametaka kufahamu hatua zilizochukuliwa na Serikali baada ya mauaji ya kupigwa risasi kwa raia yanayodaiwa kufanywa na askari watatu wa...

 

10 years ago

Habarileo

Ulanga wajivunia mafanikio

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro limejivunia kupata mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uhai wake, kwa kuongeza makusanyo ya mapato ya ndani na matumizi sahihi yaliyoharakisha maendeleo endelevu ya wananchi wa wilaya hiyo.

 

5 years ago

Michuzi

SANARE AWAPONGEZA DC, DED ULANGA


Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.
Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18 mwaka huu baada ya kutembelea Miradi miwili ya Maendeleo ambayo ni Ujenzi wa Majengo matano ya Hospitali ya Wilaya ya Ulanga yanayojengwa kwa ufadhiri wa fedha za...

 

9 years ago

TheCitizen

Voters want Kombani in Ulanga for farewell

Some residents of Ulanga East say they cannot not afford the cost of transport to Morogoro town where their immediate former MP, Ms Celina Kombani, is expected to be buried tomorrow.

 

10 years ago

Habarileo

Ulanga, Kilombero kufanywa mkoa

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameeleza kuwa yapo mapendekezo ya kugawanywa kwa mkoa huo kwa kuzifanya wilaya za Ulanga na Kilombero kuwa mkoa mpya wa Ulanga.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaibuka kidedea Ulanga

Chama cha mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi wa ubunge Jimbo la Ulanga baada ya mgombea wake, Goodluck Mlinga kupata kura 25,902 sawa na asilimia 69.78 akiwashinda wapinzani wake katika uchaguzi uliofanyika jana wilayani Ulanga mkoa wa Morogoro.

 

10 years ago

Mwananchi

Ulanga: Mchakato wa Katiba umetugawa Watanzania

Mwaka 2015 ni mwaka wa kihistoria nchini. Miongoni mwa mambo yanayoupa mwaka huu sifa za kipekee ni kuwapo kwa matukio makubwa ya Kura ya Maoni ya Katiba Mpya pamoja na Uchaguzi Mkuu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani