Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SANARE AWAPONGEZA DC, DED ULANGA


Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.
Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18 mwaka huu baada ya kutembelea Miradi miwili ya Maendeleo ambayo ni Ujenzi wa Majengo matano ya Hospitali ya Wilaya ya Ulanga yanayojengwa kwa ufadhiri wa fedha za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MOROGORO AWAPONGEZA WATENDAJI WILAYANI ULANGA

 Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare akitoa maelekezo kwa Watendaji wa Wilaya ya Ulanga Wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Ngollo Malenya mara baada ya kukagua soko la MahengeMkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Jonas Malosa kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.

Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18...

 

10 years ago

Michuzi

KADA WA CCM OLIVIA SANARE ATUMIA SIKU YAKE YA KUZALIWA KUWAKUMBUKA WATOTO YATIMA

Kada wa CCM,Olivia Sanare akizungumza na watoto waishio katika mazingira magumu wa kituo cha Kili Center alipotembelea kituo hicho kutoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho.Watoto wa kituo cha Kili Center wakimuimba wimbo wa Birthday,kada wa CCM mkoa wa Kilimanjaro Olivia Sanare aliyevaa kofia. Kada wa CCM ,Olivia akisakata Kwaito na watoto wa kituo cha Kili Center.
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ulanga wachachamaa

WANANCHI wa Tarafa ya Malinyi Wilayani ya Ulanga mkoani Morogoro, wametaka kufahamu hatua zilizochukuliwa na Serikali baada ya mauaji ya kupigwa risasi kwa raia yanayodaiwa kufanywa na askari watatu wa...

 

9 years ago

Habarileo

RC Kilimanjaro amuokoa DC, DED

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala amewaokoa mkuu wa wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga na mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Jamuhuri Wiliam kutoathiriwa na hasira za wananchi waliokuwa wakishinikiza serikali kuweka matuta katika barabara kuu ya Dar kwenda Moshi, eneo la Kileo wilayani Mwanga kwa madai ya kuchoshwa na ajali za mara kwa mara.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete awaonya Ulanga

RAIS Jakaya Kikwete amewatahadharisha wananchi wa Wilaya ya Ulanga kuwa wakizidi kulumbana kuhusu mipaka ya kuigawa wilaya hiyo bila kufikia maafikiano, watakosa wilaya mpya licha ya kuwa sehemu ya ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wamvaa DED

WALIMU na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Kigoma Vijijini wamevamia ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kufunga lango kuu la kuingia na kutoka katika ofisi za Halmashauri hiyo kwa saa tatu.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisi ya DED yateketea

JENGO la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo limeteketea kwa moto.

 

10 years ago

Habarileo

Ulanga wajivunia mafanikio

BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro limejivunia kupata mafanikio makubwa ndani ya kipindi cha miaka mitano ya uhai wake, kwa kuongeza makusanyo ya mapato ya ndani na matumizi sahihi yaliyoharakisha maendeleo endelevu ya wananchi wa wilaya hiyo.

 

9 years ago

Habarileo

RC awasimamisha kazi DED, maofisa 11

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani