Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Walimu wamvaa DED

WALIMU na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Kigoma Vijijini wamevamia ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kufunga lango kuu la kuingia na kutoka katika ofisi za Halmashauri hiyo kwa saa tatu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MACHANGU WAMVAA CHOKI

Stori: Mwandishi Wetu
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wadada wa mjini waliodaiwa kuwa machangu walimpa wakati mgumu, staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ baada ya kumvamia jukwaani na kumfanyia mambo ya hovyo. Staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ akiimba pamoja na madada hao. Tukio hilo lililoshobokewa na wanaume wakware, lilitokea wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Meeda,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA wamvaa Sitta

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimemvaa Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kikisema kuwa hajielekezi kuhakikisha katiba mpya inakidhi moja ya vigezo muhimu ambavyo ni kuwa na...

 

10 years ago

GPL

WATU WAMVAA AUNT

Stori: IMELDA MTEMA/Risasi
KUFUATIA madai kuwa staa wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya. Staa wa filamu Bongo, Aunt…

 

11 years ago

GPL

WATOTO WAMVAA MAMA!

Stori: Shakoor Jongo
LILE sakata la ugomvi wa mali zilizoachwa na bilionea maarufu Dar, Amir Tabu aliyefariki dunia hivi karibuni, limechukua sura mpya baada ya watoto wa marehemu kumvaa mama yao wa kambo, Mwanahamis Rajabu wakisema madai yake juu ya kudhulumiwa mirathi na mashemeji zake si ya kweli.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge CCM wamvaa JK

WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....

 

10 years ago

Mwananchi

Makada CCM wamvaa JK

Makada wawili wa CCM wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kuhakikisha kabla ya Uchaguzi Mkuu, anaondoa makundi ndani ya chama hicho, ambacho kinakabiliwa na kazi ngumu ya kumpata mgombea wake bila ya kutokea mpasuko.

 

10 years ago

Bongo Movies

Watu Wamvaa Aunt Ezekiel

Kutokana na uzushi  ulioenea  kuwa staa wa  Bongo Movies, Aunt Ezekiel amejifungua, ndugu, jamaa na marafiki kibao walijazana nyumbani kwake, Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi Alhamisi ili kumpa pongezi, lakini walipokuta habari tofauti walimvaa na kumlaumu kwa kuwadanganya.

Jumatano usiku katika mtandao wa kijamii wa Instagram, msanii Aunt Ezekiel ambaye ni mke wa mtu aliyepata ujauzito mumewe akiwa jela, alitupia picha ikimuonyesha akiwa na kitoto kichanga, ambacho watu wengi...

 

10 years ago

Mtanzania

UVCCM wamvaa Jaji Warioba

Jaji Joseph Warioba

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umemtaka aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Jaji Joseph Warioba, aingie mtaani kupambana akiwa na chama cha siasa badala ya kuendelea kutumia mwamvuli wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba.

Tamko hilo lilitolewa jana na Naibu Katibu Mkuu wa UVCCM Zanzibar, Shaka Hamdu Shaka  alipozungumza na mjini Dodoma nje ya viwanja vya Bunge mjini hapa .

Shaka alisema...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Waumini wa Sunni Jamaat wamvaa Turki


Na Mwandishi Wetu
WAUMINI wa Jumuia ya Sunni Muslim Jamaat, Dar es Salaam, wamemtaka mbunge wa Mpendae-CCM, Salim Turki, kufuata utaratibu na kuacha kuwanyanyasa waumini wenzake.
Imedaiwa kuwa Turki amekuwa akifanya vitendo vinavyokwenda kinyume na huwatisha waumini wenzake kuwa hakuna wa kumfanya lolote kwa kuwa ni mbunge.
Wakiunguza na waandishi wa habari jana, waumini hao walidai kuwa Turki amekiuka maagizo ya Mahakama Kuu iliyozuia uchaguzi wa jumuia hiyo hadi pande mbili zinazovutana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani