MACHANGU WAMVAA CHOKI
![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8Th9IYpSdNrrUPzZZVvo4Y7uY49NJ2E8c-uzaNMRe-pdhwLr2V*2XmWaItJ0XCJve-Ecslckpjpb4hTLnsYTt0K/choki.gif)
Stori: Mwandishi Wetu KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wadada wa mjini waliodaiwa kuwa machangu walimpa wakati mgumu, staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ baada ya kumvamia jukwaani na kumfanyia mambo ya hovyo. Staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ akiimba pamoja na madada hao. Tukio hilo lililoshobokewa na wanaume wakware, lilitokea wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Meeda,...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Machangu: Magufuli ametunyoosha
Machangudoa wakiwa mawindoni.
Richard Bukos na Issa Mnally
NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama machangudoa, wameibuka na kupaza sauti kuwa kasi ya Rais John Magufuli ikiwa ni pamoja na kukomesha ufisadi kwa staili ya kutumbua majipu, imewanyoosha kwani wateja sasa wameanza kuadimika.
Wakizungumza jijini Dar kwa nyakati tofauti, akina dada hao walisema wateja wao wakubwa walikuwa ni watumishi wa serikali, lakini hivi sasa wameadimika, kwa wengine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKZ6MTV3Q5uy4SQ*pqrtj*ugmSslaRwkRFct4AiBjvE4hIy1HbCssPebZcni-nOy7-h4KiG8U5O2TQr-uUE83Ncs/bunge1.jpg?width=650)
MACHANGU: WABUNGE WA KATIBA WANALIPA VIZURI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sya3NRL9fK58Oh5r0cxpjw547ho2iunOIphT-axIqSX8xEX9wIPj0MU0O8glPwOdlEt2EvI70h0gm76Kd3OipxY/MAKONDA2620x413.jpg?width=650)
MACHANGU ‘WAMLIZA’ DC MAKONDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdDZUuVocWwh9MpRx*Ienn88Xh5b1WCEFxQWCNr5XfZhIjvojZuSFdy0wibzbDgiW-xLO-InSwPfonnUVGWTk*n/live.jpg)
LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d*xx8iAX09Wh-6dPNaP7HIBqiAcI1GlFm-kcvZrl4esZ-V3RjYeviDvnIfss9Zar8PgRIJdXRFN0JJR7QRiRpsR8XkgaSoej/11.jpg)
WATU WAMVAA AUNT
10 years ago
Mwananchi28 Feb
Makada CCM wamvaa JK
10 years ago
Habarileo30 Sep
Walimu wamvaa DED
WALIMU na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Kigoma Vijijini wamevamia ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kufunga lango kuu la kuingia na kutoka katika ofisi za Halmashauri hiyo kwa saa tatu.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xEh6B1KdSWQNlEDYBkQs9WfoeGLkyhMiiMpc01gaKfL0U4mTlz9U4KmyoQGlqs*SxntI-DgHW6PCUWDK-bZpfZJ3s-IctndE/bilioneab666666.jpg)
WATOTO WAMVAA MAMA!
11 years ago
Tanzania Daima01 Jan
Wabunge CCM wamvaa JK
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akisubiriwa kwa shauku kubwa kuteua mawaziri wanne kuziba pengo la wale aliotengua uteuzi wao baada ya sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili, wabunge wawili machachari wamemtaka awatimue kazi mawaziri wengine waliotajwa kuwa ‘mizigo’....