Machangu: Magufuli ametunyoosha
Machangudoa wakiwa mawindoni.
Richard Bukos na Issa Mnally
NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama machangudoa, wameibuka na kupaza sauti kuwa kasi ya Rais John Magufuli ikiwa ni pamoja na kukomesha ufisadi kwa staili ya kutumbua majipu, imewanyoosha kwani wateja sasa wameanza kuadimika.
Wakizungumza jijini Dar kwa nyakati tofauti, akina dada hao walisema wateja wao wakubwa walikuwa ni watumishi wa serikali, lakini hivi sasa wameadimika, kwa wengine...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8Th9IYpSdNrrUPzZZVvo4Y7uY49NJ2E8c-uzaNMRe-pdhwLr2V*2XmWaItJ0XCJve-Ecslckpjpb4hTLnsYTt0K/choki.gif)
MACHANGU WAMVAA CHOKI
Stori: Mwandishi Wetu
KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida, wadada wa mjini waliodaiwa kuwa machangu walimpa wakati mgumu, staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ baada ya kumvamia jukwaani na kumfanyia mambo ya hovyo. Staa wa Bongo Dansi, Ally Choki ‘Mzee wa Farasi’ akiimba pamoja na madada hao. Tukio hilo lililoshobokewa na wanaume wakware, lilitokea wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Meeda,...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKZ6MTV3Q5uy4SQ*pqrtj*ugmSslaRwkRFct4AiBjvE4hIy1HbCssPebZcni-nOy7-h4KiG8U5O2TQr-uUE83Ncs/bunge1.jpg?width=650)
MACHANGU: WABUNGE WA KATIBA WANALIPA VIZURI
Stori: Mwandishi Wetu, DODOMA
Wasichana wanaofanya biashara ya kujiuza katika maeneo mbalimbali mjini hapa wameelezea neema iliyowafikia kufuatia kujikusanyia pesa ndefu kutoka kwa baadhi ya wabunge wa Bunge la Katiba ambao wanadaiwa kuwalipa vizuri. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wadada hao ambao baadhi wanatokea Mikoa ya Dar, Arusha, Mbeya na kwingineko walisema kipindi hiki wanakiita ni cha mavuno kwao kwani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sya3NRL9fK58Oh5r0cxpjw547ho2iunOIphT-axIqSX8xEX9wIPj0MU0O8glPwOdlEt2EvI70h0gm76Kd3OipxY/MAKONDA2620x413.jpg?width=650)
MACHANGU ‘WAMLIZA’ DC MAKONDA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda. Imelda Mtema
SIMANZI! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda (pichani juu) amefunguka kuwa hakuna kitu asichopenda kukisikia kama watu wanavyodai kuwa wanawake wanaouza miili yao (machangudoa) na vibaka wanatokea wilayani kwake, jambo alilodai siyo sahihi.
Makonda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akikabidhi vifaa vya michezo kwa makundi ya vijana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdDZUuVocWwh9MpRx*Ienn88Xh5b1WCEFxQWCNr5XfZhIjvojZuSFdy0wibzbDgiW-xLO-InSwPfonnUVGWTk*n/live.jpg)
LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
Stori: Muandishi Wetu
WAKATI wasanii wakitakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuenzi maadili mema kwa jamii ya Kitanzania, mambo yamekuwa kinyume, baada ya nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi' kukutwa live, akipatana bei na wanawake wanaojiuza katika eneo maarufu kwa machangudoa la Sinza Africasana jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita. Nyota wa muziki wa kizazi kipya, Ramadhan Shaban 'Wabibi'...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania