MACHANGU ‘WAMLIZA’ DC MAKONDA
![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sya3NRL9fK58Oh5r0cxpjw547ho2iunOIphT-axIqSX8xEX9wIPj0MU0O8glPwOdlEt2EvI70h0gm76Kd3OipxY/MAKONDA2620x413.jpg?width=650)
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda. Imelda Mtema SIMANZI! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda (pichani juu) amefunguka kuwa hakuna kitu asichopenda kukisikia kama watu wanavyodai kuwa wanawake wanaouza miili yao (machangudoa) na vibaka wanatokea wilayani kwake, jambo alilodai siyo sahihi. Makonda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akikabidhi vifaa vya michezo kwa makundi ya vijana...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w
![](https://1.bp.blogspot.com/-JQCJar-9Q-Y/Xl-VysRd-lI/AAAAAAALg7M/RR2ILAmxsP4d1u4NBU6VL6Li4hn4R5IlgCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-03-04%2Bat%2B2.04.17%2BPM.jpeg)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Machangu: Magufuli ametunyoosha
Machangudoa wakiwa mawindoni.
Richard Bukos na Issa Mnally
NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama machangudoa, wameibuka na kupaza sauti kuwa kasi ya Rais John Magufuli ikiwa ni pamoja na kukomesha ufisadi kwa staili ya kutumbua majipu, imewanyoosha kwani wateja sasa wameanza kuadimika.
Wakizungumza jijini Dar kwa nyakati tofauti, akina dada hao walisema wateja wao wakubwa walikuwa ni watumishi wa serikali, lakini hivi sasa wameadimika, kwa wengine...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8Th9IYpSdNrrUPzZZVvo4Y7uY49NJ2E8c-uzaNMRe-pdhwLr2V*2XmWaItJ0XCJve-Ecslckpjpb4hTLnsYTt0K/choki.gif)
MACHANGU WAMVAA CHOKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKZ6MTV3Q5uy4SQ*pqrtj*ugmSslaRwkRFct4AiBjvE4hIy1HbCssPebZcni-nOy7-h4KiG8U5O2TQr-uUE83Ncs/bunge1.jpg?width=650)
MACHANGU: WABUNGE WA KATIBA WANALIPA VIZURI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdDZUuVocWwh9MpRx*Ienn88Xh5b1WCEFxQWCNr5XfZhIjvojZuSFdy0wibzbDgiW-xLO-InSwPfonnUVGWTk*n/live.jpg)
LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Vibaka wamliza Harmonize
NA MWANDISHI WETU
MSANII kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’, amewashukuru wakazi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye onyesho lake la kwanza alilolifanya mkoani humo siku ya Krismasi licha ya watu wasiofahamika kumuibia vitu vya thamani.
Akizungumzia onyesho hilo, Harmonize alisema hakutarajia kupata mapokezi makubwa kama aliyoyapata, lakini anasikitika baadhi ya mashabiki wasio waaminifu waliweza kumuibia cheni na saa.
“Baada ya onyesho nilishuka...
10 years ago
Mwananchi03 Mar
Wimbo wa Komba wamliza Kikwete
11 years ago
Tanzania Daima08 Jan
Wanasiasa wamliza mkurugenzi Rorya
HALMASHAURI ya Wilaya ya Rorya imewalalamikia baadhi ya viongozi wa kisiasa wilayani humo wanaokwamisha jitihada za kukusanya mapato. Hayo yalisemwa juzi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Ephraem...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/d5hxC5etmnnau2eNgjtcNFay145VK6a*ik3ULovkIo44AaP05stxJCmhfhI-VMDLfn1QfQ-ZnZHXrccG8Stsc9MPc2ZBrjaN/fghdryery.gif)
VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN