Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wimbo wa Komba wamliza Kikwete

Wimbo wa John Komba aliouimba katika msiba wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1999, jana uliibua majonzi na kusababisha viongozi mbalimbali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, kutoa machozi ulipoimbwa kumuaga mbunge huyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wimbo wa Daniels wamliza Simon Cowell

Cowell na mama yakeMKURUGENZI wa shindano la X Factor, Simon Cowell, juzi alijikuta akidondosha chozi kutokana na wimbo ulioimbwa na mmoja wa washiriki katika shindano hilo, Josh Daniels.

Wimbo huo aliuimba kwa hisia kubwa akielezea kifo cha rafiki yake wa karibu aliyepoteza maisha yake huku akiwa na umri wa miaka 18.

Julai 5 mwaka huu, mkurugenzi huyo alimpoteza mama yake kipenzi, Julie Brett, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 89, kutokana na kumbukumbu ya kifo cha mama yake, Cowell alijikuta akidondosha...

 

10 years ago

Habarileo

Mazishi ya Komba yamliza Kikwete

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga, Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma jana. (Picha na Freddy Maro).Rais Jakaya Kikwete jana alishindwa kujizuia kutoa machozi, wakati mwili wa mbunge Mbinga Magharibi wilaya ya Nyasa mkoa wa Ruvuma, Kapteni John Komba wakati ukishushwa kaburini kwenye mazishi yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi, jana.

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimboakiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leoRais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwekaudongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA

Rais wa Jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete watoa pole na Kuifariji Familia ya Mbunge wa Mbinga magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwake Mbezi Dar es Salaam.

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Kapteni Komba,kijijini lituhi leo

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma leo.(picha na Freddy Maro).Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifarijifamilia ya Mbunge wa Mbinga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aungana na mamia ya waombolezaji kumzika Kepteni Komba kijijini Lituhi

D92A1860

Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Mbinga Mhashamu John Ndimbo akiongoza ibada ya mazishi ya aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwake Lituhi wilayani Nyasa Mkoani Ruvuma jana.(picha na Freddy Maro).

D92A1942

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka udongo katika kaburi la aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi marehemu Kapteni John Damiano Komba wakati wa ibada ya mazishi yake...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete aongoza maelfu ya waombolezaji kuaga mwili wa Kapteni John Komba

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji mjane wa marehemu Salome Komba katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.(picha na Freddy Maro)Waziri wa Nchi,Ofisi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani