Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wimbo wa Daniels wamliza Simon Cowell

Cowell na mama yakeMKURUGENZI wa shindano la X Factor, Simon Cowell, juzi alijikuta akidondosha chozi kutokana na wimbo ulioimbwa na mmoja wa washiriki katika shindano hilo, Josh Daniels.

Wimbo huo aliuimba kwa hisia kubwa akielezea kifo cha rafiki yake wa karibu aliyepoteza maisha yake huku akiwa na umri wa miaka 18.

Julai 5 mwaka huu, mkurugenzi huyo alimpoteza mama yake kipenzi, Julie Brett, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 89, kutokana na kumbukumbu ya kifo cha mama yake, Cowell alijikuta akidondosha...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wimbo wa Komba wamliza Kikwete

Wimbo wa John Komba aliouimba katika msiba wa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1999, jana uliibua majonzi na kusababisha viongozi mbalimbali, akiwamo Rais Jakaya Kikwete, kutoa machozi ulipoimbwa kumuaga mbunge huyo.

 

5 years ago

GIVEMESPORT

Women's Sport: Yana Daniels and Jas Matthews sign new Bristol City deals

Women's Sport: Yana Daniels and Jas Matthews sign new Bristol City deals  GIVEMESPORTBristol City Women: Yana Daniels & Jasmine Matthews sign new deals  BBC NewsView Full coverage on Google News

 

9 years ago

Mtanzania

Vibaka wamliza Harmonize

harmonizeNA MWANDISHI WETU

MSANII kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’, amewashukuru wakazi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye onyesho lake la kwanza alilolifanya mkoani humo siku ya Krismasi licha ya watu wasiofahamika kumuibia vitu vya thamani.

Akizungumzia onyesho hilo, Harmonize alisema hakutarajia kupata mapokezi makubwa kama aliyoyapata, lakini anasikitika baadhi ya mashabiki wasio waaminifu waliweza kumuibia cheni na saa.

“Baada ya onyesho nilishuka...

 

10 years ago

GPL

Wezi wamliza Kopunovic hotelini

Kocha Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic. Daudi Julian, Morogoro na Hans Mloli, Dar
KOCHA Mkuu wa Simba, Goran Kopunovic, ameingizwa mjini baada ya kuibiwa kiasi cha dola 300 (Sh 510,000) pamoja na fedha za Kitanzania ambazo hazikufahamika ni kiasi gani akiwa katika hoteli yenye hadhi kubwa mkoani Morogoro. Kocha huyo amekumbwa na tukio hilo alipokuwa mkoani humo wakati timu yake ilipokuwa mkoani humo maalum kwa ajili ya mechi...

 

10 years ago

GPL

VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN

Issa Mnally
VIBAKA ambao hawakufahamika mara moja mwishoni mwa wiki iliyopita, walivunja kioo kidogo cha gari la nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ na kumkomba vitu mbalimbali vikiwemo power window, kompyuta mpakato na fedha katika tukio lililotokea Kigamboni, jijini Dar es Salaam. Nyota wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’. Katika usiku ambao msanii huyo ilikuwa apande na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanasiasa wamliza mkurugenzi Rorya

HALMASHAURI ya Wilaya ya Rorya imewalalamikia baadhi ya viongozi wa kisiasa wilayani humo wanaokwamisha jitihada za kukusanya mapato. Hayo yalisemwa juzi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Ephraem...

 

10 years ago

GPL

BONGO MOVIE WAMLIZA MAMA LORAA!

Na Imelda Mtema
Baadhi ya mastaa wa tasnia ya sinema za Kibongo wanaounda Klabu ya Bongo Movie, wamemliza laivu mlezi wao ambaye amekuwa akiwasapoti kwa hali na mali, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ baada ya kumuangushia bonge la pati la kushtukiza (suprise) ambalo hakulitarajia. Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’. Wahusika hao walimfanyia Mama Loraa pati hiyo hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Baloko...

 

10 years ago

GPL

MASTAA WAMLIZA KAJALA USIKU, KISA..!

Imelda Mtema Machozi ya furaha! Staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja juzikati alijikuta akiangua kilio baada ya kufanyiwa ‘sapraizi’ na mastaa wenzake katika siku yake ya kuzaliwa. Tukio hilo lilichukua nafasi usiku wa Julai 22, mwaka huu nyumbani kwake Sinza Afrikasana jijini Dar ambapo akiwa hana hili wala lile, mastaa hao akiwemo Jacob Steven ‘JB’, Jennifer Kyaka ‘Odama’, Zuwena Mohammed...

 

10 years ago

GPL

MACHANGU ‘WAMLIZA’ DC MAKONDA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda. Imelda Mtema
SIMANZI! Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni (DC), Paul Makonda (pichani juu) amefunguka kuwa hakuna kitu asichopenda kukisikia kama watu wanavyodai kuwa wanawake wanaouza miili yao (machangudoa) na vibaka wanatokea wilayani kwake, jambo alilodai siyo sahihi.

Makonda alitoa kauli hiyo mwishoni mwa wiki iliyopita wakati akikabidhi vifaa vya michezo kwa makundi ya vijana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani