BONGO MOVIE WAMLIZA MAMA LORAA!

Na Imelda Mtema Baadhi ya mastaa wa tasnia ya sinema za Kibongo wanaounda Klabu ya Bongo Movie, wamemliza laivu mlezi wao ambaye amekuwa akiwasapoti kwa hali na mali, Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’ baada ya kumuangushia bonge la pati la kushtukiza (suprise) ambalo hakulitarajia. Catherine Ambakisye ‘Mama Loraa’. Wahusika hao walimfanyia Mama Loraa pati hiyo hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Baloko...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
MAMA LORAA: BONGO MOVIES IMEKOSA BODI YA USHAURI
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Tanzania Daima28 Mar
Bongo Movie wasaidia wodi ya kina mama Mwananyamala
BONGO Movie Club wametoa msaada katika wodi ya kina mama na watoto katika Hospitali ya Mwananyamala, Kinondoni jijini Dar es Salaam. Msaada huo wa vitu mbalimbali zikiwamo nguo za watoto,...
10 years ago
Bongo Movies21 Aug
Mastaa Bongo movie wazindua kampeni ya ‘Mama Ongea na Mwanao’
Siku ya jana, Agosti 20 wasanii kutoka kwenye tasnia ya filamu nchini, Steve Nyerere, Wema Sepetu, Batuli, Snura, Wastara na wengineo wamezindua kampeni mpya iitwayo Mama Ongea Na Mwanao.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa kampeni hiyo Steve Nyerere akizungumza na waandishi wa habari alisema…‘Mimi kama Mwenyekiti wa Mama ongea na mwanao ni kwamba hii Mama ongea na mwanao nadhani mmeona tangu tumepata uhuru nchi yetu haijawahi kuwa na makamu urais mwanamke hii ni historia kwa Tanzania mimi na imani...
10 years ago
Dewji Blog22 May
Staa wa Bongo Movie, Aunt Ezekiel sasa ni Mama COOKIE!! ajifungua mtoto wa kike
Aunt Ezekiel
Na Andrew Chale, Modewji blog
Ilikuwa si rahisi kama ilivyojulikana na wengi hasa kwa namna ya ‘fans’ wa staa wa filamu za Bongo maalufu Bongo Movie, kujua hatma ya ujauzito wake ambao ulikuwa ukifuatiliwa na wengi. staa huyo si mwingine ni Aunty Ezekiel (pichani), katika kipindii chote cha ujauzito wake. Lakini kwa neema za Mungu, Asubuhi ya Mei 21.2015, staa huyo aliweza kuifungulia dunia kwa kumleta mtoto wa kike.
Hata hivyo, Mtoto huyo tayari jina lake limeshajulikana...
11 years ago
GPL
MAMA LORAA AINGILIA KATI PENZI LA ISABELA, KALAMA!