Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIMBO MAALUMU WA MSIBA WA MAREHEMU JOHN KOMBA ULIOIMBWA NA TOT

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DR WILBROAD SLAA AHUDHURIA MSIBA WA CAPTAIN JOHN KOMBA

Katibu mkuu wa CHADEMA DR Wilbroad Slaa akitia saini kitabu cha Wageni alipofika kuhudhuria msiba wa Kada Maaarufu wa CCM Ambaye Pia Mbunge wa Mbinga Magharibi Captain John Komba.

 

10 years ago

Bongo Movies

Maneno ya MPOKI Kuhusu Msiba wa Kapteni John KOMBA

Mwigizaji wa vichekesho wa Kundi la Orijino Komedi, Mujuni Sylivery aka Mpoki moja ya vitu ambavyo aliwahi kuvifanya katika kazi yake ya uchekeshaji ni pamoja na kuigiza sauti ya marehemu, Kapteni John KOMBA ambaye amefariki February 28.

Leo Mpoki amesikika kwenye Leo Tena CloudsFM, alianza kuzungumzia namna alivyopokea taarifa za msiba huo; “..Mtu akishatoweka kwenye ulimwengu akifariki dunia inauma kwa sababu mtu unayempoteza leo huwezi kumpata tena.. lakini ukimpoteza mbuzi utaenda...

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA

Rais wa Jakaya kikwete na Mama Salma Kikwete watoa pole na Kuifariji Familia ya Mbunge wa Mbinga magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwake Mbezi Dar es Salaam.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo alipokwenda yeye Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu chamaombolezo walipokwenda yeye na Rais Kikwete kutoa pole na kuifarijifamilia ya Mbunge wa Mbinga...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya kuaga rasmi mwili wa marehemu Capt. John Damiano Komba leo

Capt John Damian Komba2

Marehemu Capt. John Damiano Komba enzi za uhai wake.

257298487-Ratiba-Ya-Kuaga-Rasmi-Mwili-Wa-Marehemu-Capt-John-Damiano-Komba-Mb-Siku-Ya-Jumatatu-Tarehe-2-Mach… by moblog

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU KEPTENI JOHN KOMBA LEO‏

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia jana, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam leo March 1, 2015. Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo… ...

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU MHE. CAPT. JOHN KOMBA ITAKUWA KAMA IFUATAVYO:

Marehemu Kapteni Komba enzi za Uhai wake.

Kesho tarehe 02/3/2015 saa 1 asubuhi misa parokia ya Mt. Bikira Maria Mpalizwa iliopo mbezi , saa 4 asubuhi mwili utaelekea Karimjee kwa ajili ya kuagwa, na saa 8 mchana mwili utaelekea airport tayari kwa safari ya Songea. Mazishi yatafanyika tarehe 3/3/2015 kijijini kwake Lituhi.
Kufuatia Msiba huu shughuli za kamati hazitakuwepo kwa kesho tarehe 2/3/2015. Ukipata taarifa hii tafadhali mjulishe na mwingine.
IMETOLEWA NA;OFISI KATIBU WA BUNGE1.3.2015

 

10 years ago

CloudsFM

Marehemu Kapt. John Komba kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa,Ruvuma

Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Mbinga Magharibi na mjumbe wa NEC,Marehemu Kapt.John Komba unatarajiwa kuzikwa leo kijijini kwao Lituhi,Nyasa mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK. Jakaya Mrisho Kikwete, akiongoza maelfu ya Watanzania kuuaga mwili wa Kapteni John Komba, katika viwanja vya Karimjee jana jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani