MACHANGU: WABUNGE WA KATIBA WANALIPA VIZURI
![](http://api.ning.com:80/files/m5DCNqwNmKZ6MTV3Q5uy4SQ*pqrtj*ugmSslaRwkRFct4AiBjvE4hIy1HbCssPebZcni-nOy7-h4KiG8U5O2TQr-uUE83Ncs/bunge1.jpg?width=650)
Stori: Mwandishi Wetu, DODOMA Wasichana wanaofanya biashara ya kujiuza katika maeneo mbalimbali mjini hapa wameelezea neema iliyowafikia kufuatia kujikusanyia pesa ndefu kutoka kwa baadhi ya wabunge wa Bunge la Katiba ambao wanadaiwa kuwalipa vizuri. Wakizungumza na Ijumaa kwa nyakati tofauti, wadada hao ambao baadhi wanatokea Mikoa ya Dar, Arusha, Mbeya na kwingineko walisema kipindi hiki wanakiita ni cha mavuno kwao kwani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Wabunge Kilimanjaro wafanya vizuri kielimu
WABUNGE wa Mkoa wa Kilimanjaro wamekuwa vinara katika kuboresha elimu ya shule ya msingi kwa kupata wastani wa asilimia 82 sawa na daraja ‘A’ wakati wabunge wa mikoa ya Singida...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6EOHkW_13kk/Uy3ZA6HM2XI/AAAAAAAFVsA/25uSffzyo6A/s72-c/unnamed+(55).jpg)
TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8Th9IYpSdNrrUPzZZVvo4Y7uY49NJ2E8c-uzaNMRe-pdhwLr2V*2XmWaItJ0XCJve-Ecslckpjpb4hTLnsYTt0K/choki.gif)
MACHANGU WAMVAA CHOKI
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Machangu: Magufuli ametunyoosha
Machangudoa wakiwa mawindoni.
Richard Bukos na Issa Mnally
NJAA KALI! Wadada wanaojihusisha na biashara ya kuuza miili yao maarufu kama machangudoa, wameibuka na kupaza sauti kuwa kasi ya Rais John Magufuli ikiwa ni pamoja na kukomesha ufisadi kwa staili ya kutumbua majipu, imewanyoosha kwani wateja sasa wameanza kuadimika.
Wakizungumza jijini Dar kwa nyakati tofauti, akina dada hao walisema wateja wao wakubwa walikuwa ni watumishi wa serikali, lakini hivi sasa wameadimika, kwa wengine...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-HoKvkav3sya3NRL9fK58Oh5r0cxpjw547ho2iunOIphT-axIqSX8xEX9wIPj0MU0O8glPwOdlEt2EvI70h0gm76Kd3OipxY/MAKONDA2620x413.jpg?width=650)
MACHANGU ‘WAMLIZA’ DC MAKONDA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/w3eiFFRDzzdDZUuVocWwh9MpRx*Ienn88Xh5b1WCEFxQWCNr5XfZhIjvojZuSFdy0wibzbDgiW-xLO-InSwPfonnUVGWTk*n/live.jpg)
LIVE! MSANII WA BONGO FLEVA ANASWA NA MACHANGU
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
JK ataka majina ya wabunge wa katiba
RAIS Jakaya Kikwete ametoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na wasiozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la...
11 years ago
Habarileo02 Mar
Wabunge wa Bunge la Katiba waaswa
WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi.