Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa Bunge la Katiba waaswa

WAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba wameshauriwa kutokuwa watumwa wa kupokea maagizo ya vyama vyao vya siasa kwa hofu ya kupoteza madaraka, kwani wakifanya hivyo watakuwa hawatendei haki wananchi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Wajumbe wa Bunge la Katiba waaswa kurejea Bungeni

Na Rose Masaka-MAELEZOViongozi wa vyama vya siasa waliopo nje ya Bunge Maalumu la Katiba wameaswa kurejea bungeni ili kufanya maridhiano ndani ya bunge hilo.
Kauli hiyo imetolewa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema alipokuwa akiongea na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam.
Jaji Werema amesema kuwa wajumbe walio nje ya Bunge Maalum hawana budi kurejea bungeni na kuacha kumshinikiza Rais kulivunja bunge hilo kwani hana mamlaka ya kulivunja kulingana na sheria...

 

11 years ago

Michuzi

TAMWA WATOA ELIMU KWA WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE MAALUM LA KATIBA KUZINGATIA MASUALA YA USAWA WA KIJINSIA WAKATI WA UTUNZI WA KATIBA MPYA.

Na Tiganya Vincent-Dodoma   Mwenyekiti wa Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Abdallah ametoa wito kwa wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba kufanya kazi kwa ushirikiano katika kuhakikisha kuwa wanaweka maslahi ya mwanamke mbele katika uandishi wa Katiba mpya na sio vinginevyo.   Mwenyekiti huyo ametoa kauli hiyo leo mjini Dodoma wakati anafungua semina ya siku moja ya wajumbe wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyoandaliwa na Chama cha Waandishi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

JK ateua majina ya wabunge wa bunge la Katiba

>Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waraka maalumu kwa wabunge wa Bunge la Katiba

SALAMU kwenu  wajumbe wa  Bunge  Maalumu la Katiba. Kwanza nianze kuwaambia msidhani ubunge ni bonge la dili. Ni nafasi tu katika mgawanyo wa kazi, hivyo  wale wanaoonekana wanajishaua waache  mara...

 

11 years ago

GPL

WABUNGE WA UPINZANI WATOKA NJE BUNGE LA KATIBA

WAJUMBE karibu wote wa vyama vya upinzani wanaoshiriki Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma, wametoka nje ya kikao cha leo jioni, wakipinga kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM) chenye wajumbe wengi ndani ya bunge hilo, kuwaburuza. Wakati akitoa mchango wake, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba aliliambia Bunge kuwa wanashangazwa na kitendo cha CCM kutaka kutumia wingi wao, kutengeneza katiba ambayo hailingani na mawazo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wabunge zingatieni mamlaka, mipaka Bunge Maalumu la Katiba

MCHAKATO wa kupata Katiba ya Tanzania ulianza kwa kutungwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba. Baadaye kupitia sheria hiyo, tume ya kukusanya maoni ya wananchi ikaundwa kwa ajili ya kukusanya maoni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa Bunge la Katiba washauriwa kuweka maslahi ya taifa mbele

E83A1331E83A1331

Kaimu Mwalimu mkuu wa pili kitengo cha walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi, Donard Adamu Bilali, akizungumza na wanachama wa Singida Press Club, waliotembelea shule hiyo.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Ikungi

KAIMU Mwalimu Mkuu kitengo cha walemavu shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali amewashauri wajumbe wa Bunge la katiba kuimarisha umoja baina yao ili waweze kutengeneza katiba itakayokidhi mahitaji ya Watanzania kwa zaidi ya miaka 50...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani