Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wa Bunge la Katiba washauriwa kuweka maslahi ya taifa mbele

E83A1331E83A1331

Kaimu Mwalimu mkuu wa pili kitengo cha walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi, Donard Adamu Bilali, akizungumza na wanachama wa Singida Press Club, waliotembelea shule hiyo.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu, Ikungi

KAIMU Mwalimu Mkuu kitengo cha walemavu shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali amewashauri wajumbe wa Bunge la katiba kuimarisha umoja baina yao ili waweze kutengeneza katiba itakayokidhi mahitaji ya Watanzania kwa zaidi ya miaka 50...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Wanasiasa nchini watakiwa kuweka mbele maslahi ya taifa

BARAZA la vyama vya siasa nchini limesema kazi ya kulinda kura ipo chini ya mamlaka ya vyombo vya ulinzi kwa mujibu wa katiba na sheria na si wananchi.

 

10 years ago

GPL

NIMEJIUNGA NA ACT ILI KUENDELEA KUWEKA MBELE MASLAHI YA TAIFA - ZITTO KABWE

Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar. Maelezo ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa katika Mkutano na Waandishi wa Habari kufuatia Kung’atuka Ubunge na Kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo Jumapili, 22 Machi 2015, Serena Hoteli, Dar es Salaam Ndugu Waandishi wa habari, wanachama na wapenzi wa ACT-Wazalendo na wote mliohudhuria mkutano huu, Kama mnavyojua siku ya Ijumaa tarehe...

 

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WA TANZANIA WATOKA NJE YA BUNGE LA EALA WAKIGOMEA MUSWADA WA BANDARI AMBAO HAUNA MASLAHI NA TAIFA




Na Ahmed Mahmoud Arusha 
Wabunge wa Tanzania kwenye bunge la Afrika mashariki wametoka nje ya bunge akigomea kuletwa kwa muswada wa mabadiliko ya sheria za bandari ambao hauna maslahi na taifa letu. 
Akiongea nje ya ukumbi wa bunge hilo Mariamu Ussi Yahaya alisema kuwa muswada huo unaotakiwa kuletwa utaounguza mapato ya bandari zetu hivyo hauna maslahi kwa taifa letu. 
Alieleza kuwa nchi zenye bandari kwenye jumuiya hiyo ni Tanzania na Kenya hivyo kuletwa kwake ndani ya bunge kwa wakati huu sio...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar

Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu kwenye uwanja wa Mkokotoni, Jimbo la Tumbatu, Unguja Kaskazini. Na Hassan Hamad, OMKR. Monday, October […]

The post Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Bunge la katiba wekeni masilahi ya Taifa mbele

Taifa la Tanzania liko katika mchakato wa kupata katiba mpya. Suala hili ni jema na ni la msingi sana kwa maendeleo, ushauri wangu ni kwamba wasitokee watu ambao watafanya mambo kwa masilahi yao au kikundi cha watu.

 

10 years ago

Michuzi

TMF yalipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba na kupiga gitaa lake wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kulipongeza Bunge la...

 

9 years ago

Raia Mwema

Tunahitaji Bunge linalojali maslahi ya taifa

BAADA ya Uchaguzi Mkuu. Tumempata Rais, wabunge na madiwani. Kinachobaki sasa ni kazi.

Privatus Karugendo

 

11 years ago

Mwananchi

Wajumbe waweke mbele utaifa Bunge la Katiba

Leo Tanzania inaanza safari ya kuandika historia mpya ya kupata Katiba iliyotokana na Watanzania wenyewe, safari hiyo itachukua siku 70 na kama italazimika kuongezwa, zitaongezwa 20 kukamilisha kazi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani