NIMEJIUNGA NA ACT ILI KUENDELEA KUWEKA MBELE MASLAHI YA TAIFA - ZITTO KABWE
Zitto akiongea na wanahabari leo katika ukumbi wa mikutano ndani ya Hoteli ya Serena, Dar. Maelezo ya Ndugu Zitto Kabwe aliyoyatoa katika Mkutano na Waandishi wa Habari kufuatia Kung’atuka Ubunge na Kujiunga na Chama cha ACT-Wazalendo Jumapili, 22 Machi 2015, Serena Hoteli, Dar es Salaam Ndugu Waandishi wa habari, wanachama na wapenzi wa ACT-Wazalendo na wote mliohudhuria mkutano huu, Kama mnavyojua siku ya Ijumaa tarehe...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo15 Oct
Wanasiasa nchini watakiwa kuweka mbele maslahi ya taifa
BARAZA la vyama vya siasa nchini limesema kazi ya kulinda kura ipo chini ya mamlaka ya vyombo vya ulinzi kwa mujibu wa katiba na sheria na si wananchi.
11 years ago
Dewji Blog04 Jun
Wabunge wa Bunge la Katiba washauriwa kuweka maslahi ya taifa mbele
Kaimu Mwalimu mkuu wa pili kitengo cha walemavu katika shule ya msingi mchanganyiko Ikungi, Donard Adamu Bilali, akizungumza na wanachama wa Singida Press Club, waliotembelea shule hiyo.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Ikungi
KAIMU Mwalimu Mkuu kitengo cha walemavu shule ya msingi Ikungi mchanganyiko, Donard Bilali amewashauri wajumbe wa Bunge la katiba kuimarisha umoja baina yao ili waweze kutengeneza katiba itakayokidhi mahitaji ya Watanzania kwa zaidi ya miaka 50...
9 years ago
Mzalendo Zanzibar15 Oct
Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar
Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni za uchaguzi mkuu kwenye uwanja wa Mkokotoni, Jimbo la Tumbatu, Unguja Kaskazini. Na Hassan Hamad, OMKR. Monday, October […]
The post Maalim Seif awashauri wananchi kuweka mbele maslahi ya Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Zitto Kabwe: ACT Tutasimama wenyewe
10 years ago
IPPmedia30 Mar
ACT's Zitto Kabwe defends freedom of expression
IPPmedia
The newly registered Alliance for Change and Transparency (ACT) Wazalendo was launched in Dar es Salaam yesterday with its leader, Zitto Kabwe, rooting for freedom of expression, accountability and transparency. Addressing party members, Kabwe ...
New political party comes aboardDaily News
all 2
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m9h2OjxKkWcvGXc3zaY6XNL1DlQfgiRZQjwXHR0uPZ4zdl3Bi2sfYx8*Tqckg0aBH8JcOyvwiu5YNXmZsZmO6NizzU2tE-ej/1ACT.jpg)
CHAMA CHA ACT - TANZANIA CHAKANUSHA KUMILIKIWA NA ZITTO KABWE
10 years ago
Michuzi02 Oct
Taarifa Kwa Umma Kutoka Cham Cha ACT-TANZANIA Kuhusu Zitto Kabwe na Chama Cha ACT- Tanzania
![](https://1.bp.blogspot.com/-PQ3cCBhtNUE/VCwNv30XPoI/AAAAAAADEsg/fLSGWFewAGQ/s1600/01.aa4.jpg)
Katika gazeti la mwanahabari toleo na 117 la tarehe 29/09/2014 katika ukurasa wake wa mbele iliandikwa "MKAKATI WA KUKIPA NGUVU CHAMA CHA KIPYA CHA ZITTO KABWE WAVUJA".
Act-Tanzania tunaeleza kuwa ni chama cha watanzania wote kisichokuwa na mmilki wake na tunaunganishwa na misingi kumi ya chama pamoja na Itikadi yetu ya Demokrasia...
10 years ago
Dewji Blog06 Apr
Zitto Kabwe na ACT Wazalendo kupeleka Uzalendo Songea Mjini Aprili 10
Na Andrew Chale wa Modewji Blog
Chama cha Wazalendo ACT-Tanzania kinatarajia kufanya mkutano wake Mkoani Ruvuma, Ijumaa ya Aprili 10, katika eneo la Songea Mjini.
Kwa mujibu wa taarifa kupitia kurasa ya twitter ya chama hicho kilieleza kuwa, viongozi wakuu wa chamaa hicho wanatarajiwa kuwa wazungumzaji wakuu huku Mwanachama mwenye mvuto kwa vijana ambaye pia ni msanii Afande Sele kutoka Morogoro naye akitarajiwa kuwapo kwenye mkutano huo na viongozi wa Kitaifa.
Aidha, chama hicho...
10 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/--x4Ruk7HvNc/VRcGaVvHqMI/AAAAAAAAEnc/JPIiQBut3bg/s1600/Zitto%2BKabwe-ACT%2BLeader3.jpg)
ZITTO KABWE ACHAGULIWA KUWA MKUU WA CHAMA CHA ACT TANZANIA