RC MOROGORO AWAPONGEZA WATENDAJI WILAYANI ULANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-e-wX2saD3Ng/XsTgYcNK12I/AAAAAAALq44/ROP3hw2wFIUSvl8Yd0eAaFL_9LNrC2QRACLcBGAsYHQ/s72-c/DSC02101.jpg)
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Sanare akitoa maelekezo kwa Watendaji wa Wilaya ya Ulanga Wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya Mh. Ngollo Malenya mara baada ya kukagua soko la Mahenge
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Jonas Malosa kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.
Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-op-l9n_EIp8/XsODaj8663I/AAAAAAALqu8/JB5YhXa290EgVuWIn-_K5plJ3kBrT5TmgCLcBGAsYHQ/s72-c/33b6aa4a-6d8e-4b40-a203-7a21f1d7c835.jpg)
SANARE AWAPONGEZA DC, DED ULANGA
Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.
Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18 mwaka huu baada ya kutembelea Miradi miwili ya Maendeleo ambayo ni Ujenzi wa Majengo matano ya Hospitali ya Wilaya ya Ulanga yanayojengwa kwa ufadhiri wa fedha za...
10 years ago
StarTV08 Jan
Watendaji wa Serikali Ulanga waingia lawamani.
Na Kasilda Mgeni Mulimila,
Ulanga-Morogoro.
Kanisa katoliki jimbo la Ulanga mkoani Morogogo limeeleza kusikitishwa na hatua ya watendaji wa Serikali wilayani humo kuingilia maeneo yanayomilikiwa kisheria na kanisa hilo na kuamua kujenga makazi ya kudumu.
Askofu mkuu wa kanisa katoliki jimbo la Ulanga Mhashamu Josephat Ndirobo alitoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wa mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe kwenye mkutano uliohusisha viongozi mbalimbali wa dini, Serikali na wa kisiasa.
Mkuu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3VYQ9M6FXXw/XnjO2Yq9q2I/AAAAAAALk14/x5lajS_DonAgwl6wJ-iZG1iyyKBlADywwCLcBGAsYHQ/s72-c/thumb_488_800x420_0_0_auto%25281%2529.jpg)
DC KARATU AWAPONGEZA WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA KUANDAA BAJETI BORA
Na Woinde Shizza ,KARATU
Mkuu wa wilaya ya Karatu Theresia Muhongo amewapongeza watendaji wa Halmashauri kwa kuandaa bajeti bora iliyokidhi mahitaji ya kila sekta.
Aliyasema hayo juzi katika Kikao maalumu cha kamati ya ushauri wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri, na kuongozwa na mkuu wa wilaya hiyo ambaye pia ni mwenyekiti katika Kikao hicho ambacho jukumu lake ni kushauri na kilifanya mapitio ya bajeti ya mwaka ujao wa fedha na kuridhia kupitisha bajeti hiyo.
Alisema kuwa...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Z_IMmzzHeLQ/XuD9a1GRg-I/AAAAAAALtZ4/-slWgggJ-EI7hx_-OIpkUhyqsM6vJOm1ACLcBGAsYHQ/s72-c/5.jpg)
DC SOPHIA MJEMA AWAPONGEZA USHIRIKIANO WA MADIWANI, WATENDAJI KATIKA KULETA MAENDELEO
MKUU wa Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam Dk.Sophia Mjema amewapongeza madiwani wote, wakuu wa idara, watendaji na Mkurugenzi wa wilaya hiyo kwa utendaji kazi mzuri na ushirikiano walionesha katika Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dk.John Magufuli.
Pamoja na hayo amesema kwa pamoja watendaji, watumishi na madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala wamefanikisha kuongezeka kwa ukusanyaji wa mapato pamoja na utoaji wa mikopo kwa wananchi.
Dk.Mjema...
9 years ago
StarTV17 Dec
Wakazi wa vijiji vinne vya wilayani Ulanga wanufaika na Ujenzi Wa Barabara
Wakazi wa vijiji vya Kisewe, Mdundo, Nawenge na Lyandira wilayani Ulanga mkoani Morogoro wamenufaika na ujenzi wa barabara ulioanzishwa na shirika la utafiti wa madini wilayani humo Mahenge Natural Resources baada ya kutaabika kwa muda mrefu katika usafirishaji wa mazao yao wakiyabeba kichwani kupeleka sokoni.
Kukamilika kwa mradi huo wa barabara kutasaidia wakulima wengi kwenye vijiji hivyo kunufaika kiuchumi na kuongeza kipato zaidi kutokana na mazao yao kufika kiurahisi sokoni.
Ukitazama...
10 years ago
VijimamboMFUKO WA LAPF WATOA MSAADA WA RANGI ZENYE THAMANI YA SH.MILIONI 3 KUMALIZIA UJENZI WA MAABARA YA SHULE WILAYANI ULANGA
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-nmM9x9av0YE/Xvbd-KaHXJI/AAAAAAAAW-U/73JWffjERZkggCDFM7vd7c8MMEU7-30ywCLcBGAsYHQ/s72-c/21ed60ddedde9e66abf3ae7b4d781e5f.jpg)
DKT. BASHIRU AHIMIZA HAKI KWA WATENDAJI WA CCM WILAYANI
![](https://1.bp.blogspot.com/-nmM9x9av0YE/Xvbd-KaHXJI/AAAAAAAAW-U/73JWffjERZkggCDFM7vd7c8MMEU7-30ywCLcBGAsYHQ/s400/21ed60ddedde9e66abf3ae7b4d781e5f.jpg)
Dkt. Bashiru ameeleza hayo wakati akifungua semina ya mafunzo kwa makatibu wa CCM ngazi ya wilaya kote nchini na kuonya kuwa miongoni mwa mambo yanayovunja haki ni rushwa na kuwataka makatibu hao kusimamia haki kwa...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/6Yv-sJgXl7U/default.jpg)
WATENDAJI WA SERIKALI WILAYANI KARATU WAMETAKIWA KUTEKELEZA AMRI YA RAIS
10 years ago
Dewji Blog30 Aug
Rais Kikwete ahitimisha ziara ya mkoa wa Morogoro, afanya majumuisho na watendaji
![](http://1.bp.blogspot.com/-5xy1ZcOPh4I/VADfz4vP-YI/AAAAAAAGU_U/lzWVVbyHVmc/s1600/mo1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9J0JWXH-y7s/VADhI9i5S1I/AAAAAAAGVA4/-2kZWQto9Tg/s1600/mo2.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-WaFRphdeanM/VADhJyuRyYI/AAAAAAAGVA8/etytPwq0_iM/s1600/mo3.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-m7BKcJA7HxY/VADhmDpA8yI/AAAAAAAGVBg/xI32IYR85IM/s1600/mo5.jpg)