Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC Kilimanjaro amuokoa DC, DED

MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makala amewaokoa mkuu wa wilaya ya Mwanga, Shaibu Ndemanga na mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Jamuhuri Wiliam kutoathiriwa na hasira za wananchi waliokuwa wakishinikiza serikali kuweka matuta katika barabara kuu ya Dar kwenda Moshi, eneo la Kileo wilayani Mwanga kwa madai ya kuchoshwa na ajali za mara kwa mara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa miaka 2 amuokoa mamake

Mtoto mwenye umri wa miaka 2 pekee amepokea sifa kedekede kwa kuokoa maisha ya mamake kwa kuwapigia simu wahudumu wa afya baada ya mamake kuzimia.

 

11 years ago

GPL

Manji amuokoa Kaseja Yanga

Juma Kaseja. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya uongozi wa Yanga juzi Jumanne, kuweka wazi majina ya wachezaji 11 uliowatema, imefahamika kuwa Juma Kaseja aliokolewa na mwenyekiti wa timu hiyo, Yusuf Manji. Mwenyekiti wa timu ya Yanga SC, Yusuf Manji. Imekuwa ikielezwa kuwa Kaseja hatakiwi kwenye kikosi cha Yanga kutokana na kufanya vibaya kwenye msimu uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Awali,… ...

 

9 years ago

Bongo Movies

Mama Samia Suluhu Amuokoa Wastara

Msanii wa Filamu, Wastara Juma amemshukuru Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu kwa msaada wake katika matibabu ya awali ya mguu wake licha ya kwamba bado zinahitajika zaidi ya shilingi milioni 10 ili aweze kutembea vizuri.

Akizungumza na Ijumaa kwa njia ya simu kutokea Nairobi-Kenya, Wastara alisema katika hatua ya awali ya kutibu mguu wake Mama Samia alimsaidia kiasi fulani cha fedha hivyo anamshukuru sana.

“Nimefanyiwa matibabu ya awali ambayo zimetumika fedha nyingi sana, kati ya hizo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wimbo mpya wa wasanii wazawa wa Kilimanjaro wakielezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro — “Kilimanjaro”

IMG-20150506-WA0008

Wimbo unaelezea utamaduni wa wachaga, ukarimu wa wakazi wa Kilimanjaro, na uzuri wa Mkoa wa kilimanjaro.

 

10 years ago

Habarileo

Ofisi ya DED yateketea

JENGO la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kibondo limeteketea kwa moto.

 

10 years ago

Habarileo

Walimu wamvaa DED

WALIMU na viongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) wilayani Kigoma Vijijini wamevamia ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma na kufunga lango kuu la kuingia na kutoka katika ofisi za Halmashauri hiyo kwa saa tatu.

 

9 years ago

Habarileo

RC awasimamisha kazi DED, maofisa 11

MKUU wa Mkoa wa Katavi, Dk Ibrahim Msengi amewasimamisha kazi maofisa waandamizi 11 wa Manispaa ya Mpanda akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wake, Suleiman Lukanga kwa ukiukwaji wa sheria za manunuzi kwa kufanya ubadhirifu fedha zaidi ya Sh milioni 92.8.

 

11 years ago

Habarileo

Madiwani wamsifu DED anayestaafu

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa limesema bado linahitaji mchango wa Mkurugenzi wa halmashauri hiyo (DED), Bibie Mnyamagola ambaye anatarajia kustaafu Aprili 30, mwaka huu kwa mujibu wa sheria.

 

5 years ago

Michuzi

SANARE AWAPONGEZA DC, DED ULANGA


Na Farida Saidy, Morogoro.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare amewapongeza Mkuu wa Wilaya ya Ulanga Ngollo Malenya na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo kwa kusimamia vizuri Miradi ya Maendeleo inayoendelea kutekelezwa katika Wilaya hiyo ikiwemo Hospitali ya Wilaya.
Loata Sanare ametoa pongezi hizo Mei 18 mwaka huu baada ya kutembelea Miradi miwili ya Maendeleo ambayo ni Ujenzi wa Majengo matano ya Hospitali ya Wilaya ya Ulanga yanayojengwa kwa ufadhiri wa fedha za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani