Ulanga: Mchakato wa Katiba umetugawa Watanzania
Mwaka 2015 ni mwaka wa kihistoria nchini. Miongoni mwa mambo yanayoupa mwaka huu sifa za kipekee ni kuwapo kwa matukio makubwa ya Kura ya Maoni ya Katiba Mpya pamoja na Uchaguzi Mkuu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi.jpg)
WATANZANIA WATAKIWA KUTODANYWA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA
.jpg)
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Mwenyekiti wa TCD Mhe. John Cheyo amewataka Watanzania kutodanganywa kuhusiana na mchakato mzima wa kusaka Katiba Mpya.
Kauli hiyo imetolewa leo na Mhe. Cheyo wakati alipokuwa akifanya mahojiano katika kipindi cha asubuhi cha Jambo kinachorushwa na Televisheni ya Shirika la Habari Tanzania (TBC).
Mhe....
10 years ago
Mwananchi11 Jan
MCHAKATO WA KATIBA: Watanzania wako njia panda kura ya maoni
11 years ago
Michuzi.jpg)
Simba Chawene awataka Watanzania kuacha kuingia barabarani kufanya maandamano ya kupinga mchakato wa Katiba
.jpg)
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. George Simba Chawene amesikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya Wajumbe walioko nje ya bunge hilo kuhusiana na uhalali wa bunge hilo linaloendelea Kisheria.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akichangia mada katika mjadala ndani ya bunge hilo huku akisisitiza kuwa huo ni upotoshwaji mkubwa na watu hao wanapaswa kuangaliwa kuhusu uzalendo wao.
Mhe. Chawene ameeleza kuwa inasikitisha zaidi hasa pale shutuma...
11 years ago
Dewji Blog15 Sep
Simba Chawene awataka Watanzania kuachwa kuingia barabarani kufanya maandamano ya kupinga mchakato wa Katiba
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Simba Chawene akichangia mada bungeni mjini Dodoma. (Picha na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma).
Na Benedict Liwenga, MAELEZO-Dodoma.
MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. George Simba Chawene amesikitishwa na kauli zilizotolewa na baadhi ya Wajumbe walioko nje ya bunge hilo kuhusiana na uhalali wa bunge hilo lililoko Kisheria.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akichangia mada katika mjadala ndani ya bunge hilo huku akisisitiza kuwa huo ni upotoshwaji...
11 years ago
Michuzi28 Jul
SHEIKH OMARY AMPONGEZA JK KWA MCHAKATO WA KATIBA AONYA WAJUMBE WA BUNGE LA KATIBA
Sheikh wa msikiti wa Hidaya katika manispaa ya ...
10 years ago
Mwananchi22 Feb
MCHAKATO KATIBA MPYA: Hamad: Kwa nini Wazanzibari wanapaswa kupitisha Katiba
11 years ago
GPL
MTANDAO WA WANAWAKE NA KATIBA WAZUNGUMZIA MCHAKATO KATIBA MPYA
11 years ago
Vijimambo18 Oct
MAAZIMIO YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA YA MAONI KUHUSU KATIBA INAYOPENDEKEZWA

UTANGULIZI
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imekutana katika kikao chake cha kawaida na kujadili, pamoja na mambo mengine, mchakato wa Katiba Mpya. Kamati Kuu imepata taarifa ya kina juu ya mchakato ulivyoendeshwa katika hatua mbali mbali wakati wa kutungwa kwa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na marekebisho yake na, baadaye, Sheria ya Kura ya Maoni.
Aidha, Kamati Kuu imepata taarifa ya mchakato ulivyokuwa katika hatua ya kuundwa kwa Tume...
10 years ago
Mwananchi09 Nov
JK anavyoutazama mchakato wa Katiba