Ulanga, Kilombero kufanywa mkoa
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameeleza kuwa yapo mapendekezo ya kugawanywa kwa mkoa huo kwa kuzifanya wilaya za Ulanga na Kilombero kuwa mkoa mpya wa Ulanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV17 Dec
Mkuu wa Mkoa fanya ziara ya kushtukiza Hospital Ya Wilaya Ya Ulanga
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Wilaya ya Ulanga na kukuta malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya upungufu wa dawa na vifaa tiba hatua inavyokwamisha upatikanaji wa huduma bora kwenye hospitali hiyo.
Wananchi hao wamesema kwa muda mrefu hospitalihiyo imekuwa ikikabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa kitendo kinachowaathiri kwani hulazimika kuingia kwenye maduka ya mitaani kwa ajili ya kutafuta dawa ambazo zinakosekana hospitalini...
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Upasuaji matobo kufanywa ‘live’
WASHIRIKI wa warsha ya madaktari wa upasuaji watashuhudia moja kwa moja upasuaji wa matobo unavyofanyika, kama njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vitendo. Naibu Mkurugenzi Mkuu na Daktari Bingwa wa...
11 years ago
GPLUSAFI WAANZA KUFANYWA ILALA SOKONI
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Ebola:Msako wa wagonjwa kufanywa S.Leone
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Kali za Ally Kiba kufanywa tofauti
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Nigeria: Kura za NFF kufanywa Septemba 30
11 years ago
Habarileo14 Dec
Mchakato zabuni mashine ya bayometriki kufanywa upya
SERIKALI imesema mchakato wa zabuni kwa ajili ya ununuzi wa mashine za mfumo wa bayometriki utakaotumika Watanzania kusajiliwa upya katika Daftari la Wapiga Kura unaanza upya baada ya kubainika ule wa awali ulikuwa na makosa.
11 years ago
Habarileo04 Jun
Kazi ya kusajili vizazi kufanywa na serikali za mitaa
WIZARA ya Katiba na Sheria imeanza kuboresha kazi ya kusajili vizazi kwa kugatua majukumu hayo kutoka serikali kuu kwenda serikali za mitaa.
9 years ago
Dewji Blog10 Oct
Yafahamu mambo yasiyotakiwa kufanywa Siku ya Uchaguzi 25 Oktoba 2015 hapa
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC), Kailima Kombwey.
MAELEKEZO YA TUME SIKU YA UCHAGUZI.doc