USAFI WAANZA KUFANYWA ILALA SOKONI
Mfanya usafi akifagia takataka hizo na kuzikusanya sehemu moja. Kutokana na malalamiko ya wafanyabiashara wengi kwamba mara kwa mara soko la Ilala, jijini Dar limekuwa likikaa katika hali ya uchafu kila wakati, viongozi wa soko wameanza kazi ya kulisafisha kila sikuna kulifanya lionekani safi wakati wote. Leo, kamera ya paparazi wetu imewanasa wafanya usafi wakiendelea kulisafisha soko hilo kwa kufagia na kuzikusanya takataka...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
TBL yatoa msaada wa vifaa vya usafi Ilala
![](http://3.bp.blogspot.com/-2YxUlPAojJE/VR2NH1sd0RI/AAAAAAABQIU/zMle1zYwtA0/s1600/TBL.jpg)
Meneja wa Kiwanda cha Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Calvin Martin (wapili kulia), akimkabidhi Mbunge wa Ilala, Mussa Zungu baadhi ya vifaa vya kufanyia usafi kwa ajili ya maeneo ya Mchikichini na Jangwani, Dar es Salaam jana. Kiwanda hicho kilikabidhi vifaa vyenye thamani ya sh. milioni saba pamoja na hundi ya sh. milioni 8 kwa ajili ya kazi ya usafi wa maeneo hayo. Kulia anayemsaidia ni Ofisa Uhusiano na Mawasiliano TBL, Dorris Malulu.
Ofisa Uhusiano na Mawasiliano Kampuni ya Tanzania...
9 years ago
StarTV02 Dec
 Manispaa Ilala lawamani kwa uhaba wa vitendea kazi vya kufanya usafi
Wafanyabiashara wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam wameitaka Manispaa hiyo kuongeza vifaa vya kuweka na kubeba uchafu ili kukabiliana na changamoto ya uchafuzi wa Mazingira na ugonjwa wa kipindupindu unaohatarisha maisha ya wengi.
Wafanyabiashara hao wamesema iwapo hatua stahiki hazitachukuliwa suala la ujenzi holela, umwagaji maji taka katika mitaro ya wazi na utupwaji wa taka ovyo utazidi kushamiri.
Startv ilizungumza na baadhi ya wafanyabiashara katika soko la Kariakoo ambao...
9 years ago
MichuziMKOA WA DODOMA WAANZA KUTEKELEZA AGIZO LA RAIS MAGUFULI LA KUFANYA USAFI SIKU YA UHURU 9 DISEMBA, 2015
Uongozi wa Mkoa umeamua kuanza mapema zoezi la ufanyaji usafi pasipo kusubiri tarehe 9 Disemba na umepanga kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu...
11 years ago
GPLTBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI WA MAZINGIRA VYA SH MIL 15 MANISPAA YA ILALA
11 years ago
Tanzania Daima28 May
Upasuaji matobo kufanywa ‘live’
WASHIRIKI wa warsha ya madaktari wa upasuaji watashuhudia moja kwa moja upasuaji wa matobo unavyofanyika, kama njia mojawapo ya kutoa elimu kwa vitendo. Naibu Mkurugenzi Mkuu na Daktari Bingwa wa...
10 years ago
Habarileo08 Jul
Ulanga, Kilombero kufanywa mkoa
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Dk Rajab Rutengwe ameeleza kuwa yapo mapendekezo ya kugawanywa kwa mkoa huo kwa kuzifanya wilaya za Ulanga na Kilombero kuwa mkoa mpya wa Ulanga.
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Nigeria: Kura za NFF kufanywa Septemba 30
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Kali za Ally Kiba kufanywa tofauti
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Ebola:Msako wa wagonjwa kufanywa S.Leone