Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kali za Ally Kiba kufanywa tofauti

>Mwanamuziki wa bongo fleva, Ally Kiba amesema [icha za video ya wimbo wake wa “Kimasomaso” zitachukuliwa nchini, wakati izle za “Mwana Dar es Salaam”, zitachukuliwa nje ya nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa

ALI KIBA NA ABDUL KIBANA SHARIFA MMASI

MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.

Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.

“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.

“Umaarufu wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ally Kiba akunwa na kiwango cha AY

MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Ally Kiba, amesema kuwa, msanii ambaye anamkubali hapa nchini ni Ambwene Yesaya ‘AY’ huku akiwataka watu wamlinganishe na msanii huyo sio Naseeb Abdul ‘Diamond...

 

10 years ago

CloudsFM

SHETTA AKANUSHA KUWA NA BIFU NA ALLY KIBA

Mkali wa ngoma ya ‘’Kerewa’’,Sheta amekanusha habari zilizozagaa mtandaoni kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii mwenzake wa Bongo Fleva,Ally Kiba.‘’Sina bifu na Ally Kiba,nilichosema ni kwamba sina mpango wa kufanya kolabo na msanii yoyote hapa Bongo kwa sasa,’’alisema Shetta.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dully Sykes awashauri Diamond, Ally Kiba

MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amewataka wakali wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ally Kiba, watoe ‘Collabo’ ili kukusanya mashabiki wa muziki...

 

11 years ago

GPL

NINA MATUMANINI NA NCHI YANGU - ALLY KIBA

Staa wa Bongo Fleva, Ally Kiba, atakuwa ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakalofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Agosti 8, 2014. Ewe, Mtanzania njoo tuungane kudumisha amani ya nchi yetu na kuleta matumaini!

 

10 years ago

GPL

BELLA, ALLY KIBA, OMMY DIMPOZ WAFUNIKA ESCAPE ONE

Bella akikamua.  Alicious akiimba kibao chake maarufu cha ‘Ya Bolingo’. Ally Kiba akifanya vitu vyake. Ommy Dimpoz akiwajibika.…

 

11 years ago

CloudsFM

ALLY KIBA AMPONGEZA DIAMOND KWA MAAFANIKIO ALIYOFIKIA

STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa kimya.Clouds fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?

 

10 years ago

Bongo Movies

Ubuyu: Wema Azua Timbwili Eti Kisa Ally Kiba!

Mrembo na Staa wa Bongo Movie, Wema Sepetu ‘Madam’ anadaiwa kusababisha timbwili la aina yake hivi karibuni, akidaiwa kuwa kwenye harakati za kutaka kukaa karibu na staa wa Bongo Fleva , Ally Kiba.

Kwa  mujibu wa gazeti la Risasi Mchanganyiko, tukio hilo la aina yake lilitokea hivi karibuni kwenye Ukumbi wa Triple A, jijini Arusha ambapo Wema alienda kwenye sherehe ya mmoja wa rafiki zake huku yeye akipewa ‘taito’ ya mgeni rasmi.

Chanzo cha gazeti hilo kilidokeza kuwa hivi karibuni, Kiba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani