ALLY KIBA AMPONGEZA DIAMOND KWA MAAFANIKIO ALIYOFIKIA
STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa kimya.
Clouds fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?
CloudsFM
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Dully Sykes awashauri Diamond, Ally Kiba
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amewataka wakali wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ally Kiba, watoe ‘Collabo’ ili kukusanya mashabiki wa muziki...
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.
Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.
“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.
“Umaarufu wa...
11 years ago
CloudsFM30 Jun
ALLY KIBA AILAUMU ‘MANAGEMENT’ YAKE YA ZAMANI KWA KUM-HARIBIA KAZI
STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba real baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, wiki iliyopita aliachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Pita Mbele’ aliyofanya na ndugu yake Abdu Kiba(Kiba Square, alipoulizwa sababu za ukimya wake ally kiba alifunguka kuwa moja wapo ni kumpa nafasi mdogo wake afanye muziki zaidi, lakini sababu nyingine ya Ally Kiba kupotea ni kuwa management aliyokuwa nayo mwanzo ilimuharibia kazi zake.
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu
10 years ago
CloudsFM24 Dec
9 years ago
VijimamboMISSY T AMPONGEZA DIAMOND KWA KUMPELEKA DINNER VIRGINIA
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Kali za Ally Kiba kufanywa tofauti
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ally Kiba akunwa na kiwango cha AY
MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Ally Kiba, amesema kuwa, msanii ambaye anamkubali hapa nchini ni Ambwene Yesaya ‘AY’ huku akiwataka watu wamlinganishe na msanii huyo sio Naseeb Abdul ‘Diamond...