Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MISSY T AMPONGEZA DIAMOND KWA KUMPELEKA DINNER VIRGINIA

Miss Temeke (wapili toka kushoto) akiwa na Diamond na meneja wake Babu Tale (kulia) kwenye chakula cha jioni siku ya Jumanne Octoba 13, 2015 kwenye mgahawa Virginia. Missy T alimpeleka Dinner Diamond na meneja wake Babu Tale kwa kumpongeza masanii huyo kwa kuweza kunyakua tuzo tatu kwenye AFRIMA Awards zilizofanyika wiki iliyopita jimbo la Texas. Wengine waliokuwepo kwenye chakula hicho cha jioni ni Seif Ameir na Mkewe Bi. Nargis akiwemo Mume wa Miss T Bwn. Mohamed Matope. Diamond na meneja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

THE DIVA'S USA VALENTINE'S DAY DINNER YA MISSY T DOWNTOWN SILVER SPRING, MARYLAND

Meza maalumu kwa wapendanao kwenye siku ya Valentine iliyoandalia na Missy Temeke na mumewe iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 14, 2015 Sheraton Downtown Silver Spring na kuwaalika rafiki zao na iliyoenda sambamba na siku ya kuzaliwa ya Bi. Loveness Mamuya.Wageni waalikwa na mwenyeji wao Missy Temeke wakiwa katika picha ya pamoja.Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
 KUKATA KEKI BIRTHDAY YA LOVENESS MAMUYA Bwana na Bi Matope wakiongea jambo  Bi....

 

10 years ago

Vijimambo

ALLY SHARIF AKAMATO NONDO CHUO KIKUU CHA VIRGINIA MASHARIBI(WEST VIRGINIA UNIVERSITY)

Ally Sharif akipata picha baada ya kukumata nondo katika chuo kikuu cha West Virginia siku ya Jumapili May 17, 2015.Ally Sharif akipata picha na baba yake.Ally akiwa amebebwa na dada yake LilianAlly akiwa na Aunty Aisha na Bibi Rose.Ally na dada yake Lilian.Ally na baba na mama.Kwa picha zaidi bofya soma zidi

 

10 years ago

CloudsFM

WEMA ADAIWA KUMPELEKA DIAMOND POLISI

MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu ‘Wema’, amemfungulia kesi ya madai mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki wa bongo fleva, Nassib Abdul ‘Diamond’, kwa kumtapeli kiasi cha Sh milioni 10. Kwa mujibu wa mtandao wa Shirika la Utangazaji (BBC) idhaa ya Kiswahili, Wema aliripoti madai yake kituo cha Polisi Oysterbay akidai kuwa alimpatia mwanamuziki huyo kiasi hicho kwa makubaliano ya kazi na kuahidi kumlipa, lakini amekwenda kinyume makubaliano yao.
Muhusika...

 

11 years ago

CloudsFM

ALLY KIBA AMPONGEZA DIAMOND KWA MAAFANIKIO ALIYOFIKIA

STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa kimya.Clouds fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?

 

9 years ago

Bongo5

Alikiba atolea ufafanuzi post ya ‘utata’ aliyoandika Instagram, na ampongeza Diamond kwa ushindi wa AFRIMA

12120276_163762000643678_1906855536_n

Alikiba ametolea ufafanuzi post yake ya Instagram iliyozua mjadala kwa mashabiki mbalimbali wa muziki ambao waliipokea kwa hisia tofauti.

12120276_163762000643678_1906855536_n

Siku ya Jumatatu Nov.16 Muimbaji huyo wa single mpya ‘Nagharamia’ aliandika, “Asanteni sana najua mmepiga kura sana lakini nilikuja kugundua baada ya kufuatilia kuwa kuna mambo yanaendelea ya watu wanadiriki hata kupoteza pesa zao kwaajili yangu ila nawaomba fans msinielewe vibaya I will always be there for you #hapakazitu #kingkiba,” post ambayo baadae...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya wake kukanusha, Wema Sepetu mwenyewe kaongea kuhusu ishu ya kumpeleka Diamond Polisi.

Baada ya hapo jana meneja wa mwigizaji Wema Sepetu, Martin Kadinda  kukanusha habari za Wema kumpeleka polisi Diamond Platnumz ambae alikuwa mpezi wake. Kwa kutoweza kulipa kwa wakati deni la shilingi million 10. Leo Wema Sepetu amefunguka  kuhusu swala hili katika mahojiano na Millard Ayo.

Wema  ameyasema haya “Hii taarifa imenishtua sana maana asubuhi ya jana nimekuta kwenye gazeti wameandika nikashangaa yaani hapa nimekaa kwa sababu muda mwingi siendeshi mimi akaunti yangu ya twitter,...

 

9 years ago

Bongo5

Swizz Beatz ampongeza Diamond kwa kumuita ‘King’ baada ya kushinda tuzo za MTV EMA, soma pongezi za mastaa wengine hapa

Diamond ameutafuna mfupa uliowashinda wengi. Hakuna msanii yeyote kutoka Afrika Mashariki, Magharibi na Kusini aliyewahi kushinda kipengele cha Worldwide Act, Africa/India kwenye tuzo za MTV EMA. Ushindi huo mkubwa unaomfanya sasa awe msanii namba moja Afrika. “Hii sio tunzo yangu ni tunzo ya wewe na mimi maana bila kura yako nisingeweza kabisa kushinda,” anasema Diamond. […]

 

10 years ago

Michuzi

MAMA BISHANGA AMPONGEZA DIAMOND

Mama Bishanga na Mumewe Bw. MarolenNimeona nisikae na duku duku la pongezi zangu kwa kijana wetu Diamond kwa kutwaa tuzo tatu kwa mpigo wiki iliytopita huko South Africa. Huo ni ushindi mkubwa sana kwa Diamond, na sisi sote kama taifa la Tanzania. Mimi kwa niaba ya wazazi wenzangu bwana mdogo nakupongeza sana na ninampongeza sana mama yako Sandra kwa kukuandaa katika fani ya muziki, nguvu yake ndio mafanikio yako. Hii inanikumbusha hata mimi nilivyokuwa ninaandaa kazi zangu za sanaa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani