THE DIVA'S USA VALENTINE'S DAY DINNER YA MISSY T DOWNTOWN SILVER SPRING, MARYLAND
Meza maalumu kwa wapendanao kwenye siku ya Valentine iliyoandalia na Missy Temeke na mumewe iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 14, 2015 Sheraton Downtown Silver Spring na kuwaalika rafiki zao na iliyoenda sambamba na siku ya kuzaliwa ya Bi. Loveness Mamuya.
Wageni waalikwa na mwenyeji wao Missy Temeke wakiwa katika picha ya pamoja.
Wageni waalikwa wakiwa katika picha ya pamoja.kwa picha zaidi bofya soma zaidi
KUKATA KEKI BIRTHDAY YA LOVENESS MAMUYA
Bwana na Bi Matope wakiongea jambo
Bi....
Vijimambo