ALLY KIBA AILAUMU ‘MANAGEMENT’ YAKE YA ZAMANI KWA KUM-HARIBIA KAZI
STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba real baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya mwaka mmoja na nusu, wiki iliyopita aliachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Pita Mbele’ aliyofanya na ndugu yake Abdu Kiba(Kiba Square, alipoulizwa sababu za ukimya wake ally kiba alifunguka kuwa moja wapo ni kumpa nafasi mdogo wake afanye muziki zaidi, lakini sababu nyingine ya Ally Kiba kupotea ni kuwa management aliyokuwa nayo mwanzo ilimuharibia kazi zake.
CloudsFM
Habari Zinazoendana
11 years ago
CloudsFM17 Jul
ALLY KIBA AMPONGEZA DIAMOND KWA MAAFANIKIO ALIYOFIKIA
STAA wa Bongo Fleva,Ally Kiba amempongeza msanii mwenzake anayefanya vizuri ndani na nje ya Bongo Naseeb Abdul’Diamond Platnumz’ kwa hatua aliyofikia kimuziki kwa kipindi chote ambacho yeye Ally Kiba alikuwa kimya.
Clouds fm imepiga stori na Ally Kiba, swali lilikua hivi mara kadhaa mashabiki wao wamekua wakihisi wana bifu, je? Mahusiano yao yako vipi?
9 years ago
Mtanzania21 Oct
Abdu Kiba: Ally Kiba kaniokoa
NA SHARIFA MMASI
MSANII wa Bongo Fleva nchini, Abdu Kiba, amedai kufanya kazi ya muziki na ndugu wa damu moja, kumemsaidia kutambulika haraka kwenye soko la muziki ndani na nje ya nchi.
Abdu Kiba anayeendelea kutamba na wimbo mpya wa ‘Ayaya’ aliomshirikisha Hellen Magashi ‘Rubby’, amesema ni fahari kwake kwa kuwa kazi yake ya muziki imepokelewa kwa urahisi.
“Kuna faida kubwa sana ya kufanya kazi na ndugu hasa anapokuwa na mashabiki wengi kama ilivyo kwa kaka yangu, Ally Kiba.
“Umaarufu wa...
11 years ago
Mwananchi14 Jun
Ally Kiba: Aeleza mambo matatu yaliyomsimamisha kuimba muziki kwa miaka mitatu
9 years ago
Bongo520 Nov
Z Anto kufanya kazi na management mbili kwa pamoja
![Z Anto](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Z-Anto-300x194.jpg)
Z Anto amesema huenda akafanya kazi na management mbili katika huu ujio wake mpya.
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa sasa hivi yupo kwenye mazungumzo na management hizo ambazo zinataka kufanya naye kazi pamoja.
“Mimi kazi zangu zitaanda kutoka December, video na audio,” asema. “Pia nipo kwenye mazungumzo na management mpya sio ya Babu Tale, lakini kwa sababu tupo kwenye mazungumzo na zote zinaonesha nia ya kufanya kazi na mimi, sioni tatizo la kuwa na management mbili kwa wakati mmoja....
10 years ago
Tanzania Daima25 Aug
Ally Kiba akunwa na kiwango cha AY
MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Ally Kiba, amesema kuwa, msanii ambaye anamkubali hapa nchini ni Ambwene Yesaya ‘AY’ huku akiwataka watu wamlinganishe na msanii huyo sio Naseeb Abdul ‘Diamond...
11 years ago
Mwananchi01 Aug
Kali za Ally Kiba kufanywa tofauti
11 years ago
GPL23 Jul
NINA MATUMANINI NA NCHI YANGU - ALLY KIBA
10 years ago
CloudsFM06 Nov
SHETTA AKANUSHA KUWA NA BIFU NA ALLY KIBA
Mkali wa ngoma ya ‘’Kerewa’’,Sheta amekanusha habari zilizozagaa mtandaoni kuwa hawezi kufanya kolabo na msanii mwenzake wa Bongo Fleva,Ally Kiba.
‘’Sina bifu na Ally Kiba,nilichosema ni kwamba sina mpango wa kufanya kolabo na msanii yoyote hapa Bongo kwa sasa,’’alisema Shetta.
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Dully Sykes awashauri Diamond, Ally Kiba
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amewataka wakali wa muziki huo, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’ na Ally Kiba, watoe ‘Collabo’ ili kukusanya mashabiki wa muziki...