Mkuu wa Mkoa fanya ziara ya kushtukiza Hospital Ya Wilaya Ya Ulanga
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Dokta Rajabu Rutengwe amefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya Wilaya ya Ulanga na kukuta malalamiko kutoka kwa wananchi juu ya upungufu wa dawa na vifaa tiba hatua inavyokwamisha upatikanaji wa huduma bora kwenye hospitali hiyo.
Wananchi hao wamesema kwa muda mrefu hospitalihiyo imekuwa ikikabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa kitendo kinachowaathiri kwani hulazimika kuingia kwenye maduka ya mitaani kwa ajili ya kutafuta dawa ambazo zinakosekana hospitalini...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV21 Dec
Waziri wa Afya afanya ziara ya kushtukiza abaini dosari kadhaa Hospital ya Bombo Tanga
Waziri wa afya Maendeleo ya Jamii jinsia, Wazee na watoto Ummy Mwalimu amefanya ziara ya ghafla katika hospitali ya Mkoa wa Tanga Bombo na kukutana na dosari mbalimbali
Moja ya mambo yaliyomkera Ummy ni kuwakosa madaktari wa zamu katika hospitali hiyo pamoja na ukosefu wa mashuka kwa wagonjwa hali iliyowalazimu kutandika kanga zao.
Ilikuwa ni ziara ya kustukiza iliyofanywa na Waziri wa afya maendeleo ya jamii ,jinsia wazee na watoto katika hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Tanga ikiwemo...
10 years ago
MichuziZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA YAFANA WILAYA YA DIMANI MKOA WA MAGHARIBI.
9 years ago
StarTV16 Dec
Meya Mwanza, Naibu wafanya ziara ya kushtukiza Hospitali Ya Wilaya Nyamagana
Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza na Naibu wake wamefanya ziara ya kushtukiza katika hospitali ya wilaya ya Nyamagana kuangalia suala la utoaji huduma za afya kwa wagonjwa wanaofika hospitalini hapo.
Ziara hiyo imefanyika siku chache baada ya James Bwire diwani wa kata ya Mahina kuchaguliwa kuwa Mstahiki Meya wa jiji la Mwanza akilenga kuunga mkono kauli ya Rais John Magufuli ya Hapa Kazi Tu.
Hospitali ya wilaya ya Nyamagana inayohudumia takribani wagonjwa 300 kwa siku ikiwa ni tegemeo kwa...
10 years ago
GPLKATIBU MKUU WA CCM, NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA
9 years ago
Dewji Blog01 Dec
Kasi ya RC Makalla yautikisa Mkoa wa Kilimanjaro, afanya ziara za kushtukiza
Na Mwandishi Wetu, Moshi
MKUU wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, amefanya ziara ya kushtukiza katika masoko manne ya Manispaa ya Moshi pamoja na dampo za kukusanyia uchafu, ili kujionea hali ya usafi na utendaji kazi katika mkoa huo. Katika ziara hiyo, RC Makalla alitumia muda huo kuwaagiza watendaji wake, hususan katika mchakato mzima wa kuifanya Moshi iwe kwenye usafi.
Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla mwenye miwani, akikagua soko lililopo kwenye Manispaa ya Moshi, mkoani humo,...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AANZA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA WETE MKOA WA KASKAZINI PEMBA.
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE LEO WILAYA YA AMANI MKOA WA MJINI MAGHARIBI
5 years ago
MichuziKATIBU MKUU WIZARA YA KILIMO AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA ENEO LA UJENZI WA VIHENGE VYA KISASA SHNYANGA.
" Mkandarasi sijaridhishwa na kazi yako kuwa na kasi ndogo wakati serikali inahitaji mradi huu wa maghala ukamilike kwa wakati.Nataka uongeze idadi ya vibarua na mafundi ili spidi ya kazi iongezeke " alisema Kusaya
Katibu Mkuu huyo ameelekeza mkandarasi kuwa ataendelea kutembelea...
10 years ago
MichuziKATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE MKOA WA KAGERA,LEO KUVAMIA MKOA WA GEITA
Katibu Mkuuu wa CCM Abdulrahman Kinana amehitimisha ziara yake hiyo ya kukagua...