Pinda awaonya ma-DC wababe
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonya Wakuu wa Wilaya wanaotawala kibabe, akitaka waache mara moja mbinu hiyo ya kiutawala kwani inajenga uadui, chuki na uhasama.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Wababe England wamwinda Kroos
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Kivumbi leo AFCON,Wababe dimbani
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
Djokovic, Muruguza wababe China Open
10 years ago
Mwananchi06 Oct
Chelsea wababe tena kwa Arsenal
10 years ago
Vijimambo09 Apr
10 years ago
Dewji Blog03 May
Wababe wa dunia:Floyd Mayweather amshinda Manny Pacquiao kwa pointi 6
Masumbwi ‘Mawe’ yalivyokuwa kwenye pambano hilo
Las Vegas, USA
Tayari Dunia imeshamtambua mbabe zaidi Duniani katika masumbwi ni nani, baada ya pambano la karne ambalo lilipewa ‘kiki’ kubwa duniani kote hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao kwa mabondia hapo kupambana mpaka raound 12, ambapo Mmarekani Floyd Mayweather aliibuka kuwa mshindi kwa pointi dhidi ya mshindani wake huyo kutoka Uphilipino. kwa mujibu wa majaji,Floyd alipata pointi 117 na Pacquiao kupata 111.
Msimamo wa...
11 years ago
Habarileo20 Feb
RC awaonya wafugaji
SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Rage awaonya wanachama
MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Fr9V0gsRfhU/VS6fj9bodhI/AAAAAAAHRWk/RQS7v0ZS62k/s72-c/1588.jpg)
DC AWAONYA WAKAZI WA KISARAWE
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fr9V0gsRfhU/VS6fj9bodhI/AAAAAAAHRWk/RQS7v0ZS62k/s1600/1588.jpg)
Bi Subira, amesema kuwa, kuna watu hutumia kofia ya uwekezaji katika nchi hii kujitwalia ardhi katika maeneo mbalimbali na kisha kuyatelekeza bila ya kufanyiwa kazi kwa muda mrefu na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wanaoishi...