Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chelsea wababe tena kwa Arsenal

Diego Costa amefunga bao lake la tisa katika mechi sita za Ligi Kuu England alizocheza wakati Chelsea ilipoifumua Arsenal mabao 2-0 jana.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Macho yote kwa Arsenal, Chelsea

Kipa Petr Cech amesisitiza Arsenal itasahau yaliyotokea katika Ligi ya Mabingwa kwa kushinda mchezo wao dhidi ya Tottenham Hotspur, huku Jose Mourinho akiwa na furaha kidogo wakati Chelsea itakapokuwa ugenini kuivaa Stoke.

 

11 years ago

GPL

JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SHILINGI 5,000 KWA KUTABIRI MECHI YA CHELSEA, ARSENAL

Kutabiri tembelea page yetu ya facebook ==> www.facebook.com/Globalpublishers MWISHO WA KUTUMA MATOKEO NI SAA 9:40 ALASIRI

 

11 years ago

BBC

Chelsea 6-0 Arsenal

Eto'o and Salah score as Chelsea enjoy their biggest win against Arsenal on Arsene Wenger's 1000th game in charge of the Gunners.

 

9 years ago

BBCSwahili

Chelsea vs Arsenal

Jose Mourinho amemuonya mwenzake wa Arsenal, Arsene Wenger kuwa timu yake imerejesha makali yake na kuwa mechi ya leo Stamford Bridge itakuwa dhihirisho

 

10 years ago

Mwananchi

Usipime Chelsea, Arsenal

Ni nani atalia, pia nani atacheka? Hili ni swali ambalo linaulizwa leo zinapokutana timu kadhaa za Ligi Kuu England, zikiwamo pinzani za London, Chelsea , Arsenal, Man United na Everton.

 

10 years ago

BBCSwahili

Arsenal kupambana na Chelsea

Ligi kuu ya Uingereza inaanza tena siku ya jumapili wakati ambapo mabingwa wa ligi hiyo Chelsea wanakutana na washindi wa kombe la FA Arsenal katika mechi ya kombe la Charity Shield itakayogaragazwa katika uwanja wa Wembley.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani