Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DC AWAONYA WAKAZI WA KISARAWE

Na. Wambara Mayori, Pwani.   Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Bi Subira Khamis Mgalu, amewasihi wananchi wa  Kisarawe kulinda ardhi yao kama mboni ya jicho  na kuwataka kuacha tabia ya kuuza ardhi yao kiholela na badala yake wajikite katika kuyaendeleza maeneo yao. 
Bi Subira, amesema kuwa, kuna watu hutumia kofia ya uwekezaji katika nchi hii kujitwalia ardhi katika maeneo mbalimbali  na kisha kuyatelekeza bila ya kufanyiwa kazi kwa muda mrefu na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wanaoishi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA SHINYANGA WAKUNWA NA UJIO WA TAMASHA LA FIESTA,LEO KUSAMBAZA UPENDO KWA WAKAZI WA GEITA

Pichani kati msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka THT,Rachael akiwa na madansa wake wakilishambulia jukwaa kwa namna ya kipekee usiku huu kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga.Wasanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya,Ney Wa Mitego (pichani kulia) na Stamina wakilishambulia jukwaa kwa wimbo wao wa Huko Kwenu vipi,huku makele ya shangwe yakiwa yametawala kila kona ya uwanja mdogo wa Kambarage mjini Shinyanga usiku huu.Sehemu ya mashabiki wa Fiesta...

 

5 years ago

Michuzi

UHALAWE, KISARAWE


"USHUHUDA WA UTAJIRI NA UTALII WA KIHISTORIA ULIOPO KISARAWE"
Na Jokate Mwegelo, DC Kisarawe 
WAUKAE ,Jumamosi ya Julai 28,2018 majira ya saa 10 alasiri, Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli aliniteua kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. 
Hakika ilikuwa siku ya kihistoria kwangu, hasa kwenye safari yangu ya kisiasa na uongozi nchini. Uteuzi huu umenipa nafasi ya kutumia na kuonesha vipaji vyangu vya kiuongozi. 
Sikuwahi kudhania kuwa ipo siku...

 

11 years ago

Habarileo

RC awaonya wafugaji

SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kimbele amchapa Kisarawe

BONDIA Ramadhani Kimbele wa jijini Dar es Salaam, Jumatano iliyopita alitwaa ubingwa wa Shirikisho la Masumbwi ya Kulipwa Tanzania (TPBC), baada ya kumshinda Julius Kisarawe katika pambano la raundi 10...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DC Nyamagana awaonya walimu

MKUU wa Wilaya (DC) ya Nyamagana, Baraka Konisaga, amesema atawachukulia hatua za kinidhamu walimu wote wa shule za msingi na sekondari wilayani hapa watakaobainika kuwafukuza shuleni wanafunzi wasiolipa ada na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Lukuvi awaonya wafanyabiashara

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),William Lukuvi, amewakemea baadhi ya wafanyabiashara kuacha kutumia jina lake na kuvamia maeneo ya watu kwa nia ya kudhulumu maeneo...

 

11 years ago

Habarileo

RC awaonya wanasiasa wafitini

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bandera, amewaonya wanasiasa wakiwemo wa vyama vya upinzani wanaoendesha kampeni chafu zenye kuleta chuki kati ya Serikali na wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa kuacha tabia hiyo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Rage awaonya wanachama

MWENYEKITI wa Simba anayemaliza muda wake, Ismail Aden Rage, amewaonya wanachama kuwa makini kuelekea uchaguzi mkuu, kwani kitendo cha kupandikiza maneno kwa Mgombea wa Urais Michael Wambura kitaharibu mchakato mzima...

 

10 years ago

Habarileo

Pinda awaonya ma-DC wababe

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonya Wakuu wa Wilaya wanaotawala kibabe, akitaka waache mara moja mbinu hiyo ya kiutawala kwani inajenga uadui, chuki na uhasama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani