Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kimbele amchapa Kisarawe

BONDIA Ramadhani Kimbele wa jijini Dar es Salaam, Jumatano iliyopita alitwaa ubingwa wa Shirikisho la Masumbwi ya Kulipwa Tanzania (TPBC), baada ya kumshinda Julius Kisarawe katika pambano la raundi 10...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Nadal amchapa Murray

Mchezaji namba tano kwa ubora wa mchezo wa tenesi kwa upande wa wanaume Rafael Nadal,amemshinda muingereza Andry Murray.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Malecela ‘amchapa’ Lowassa

MALUMBANO na vijembe vinavyotokana na ‘figisufigisu’ za urais ndani ya  Chama Cha Mapinduzi (CCM), sasa yameingia katika hatua mpya baada ya mkongwe wa siasa nchini, John Malecela, kumtolea uvivu Mbunge...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Lissu amchapa Jaji Werema

MNADHIMU  wa Kambi Rasmi ya Upinzani, Tundu Lissu, amemvaa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, (AG), Jaji Fedrick Werema kuwa  ameliingiza hasara taifa kwa kushindwa kuzuia  wizi wa fedha zaidi y ash bilioni 300, zilizohifadhiwa...

 

10 years ago

GPL

MAYWEATHER AMCHAPA TENA MAIDANA

Floyd Mayweather (kushoto) akimtupia konde mpinzani wake Marcos Maidana. Maidana akijibu mashambulizi wakati wa pambano hilo.…

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiriosi amchapa Alexander -Tenisi.

Nyota wa mchezo wa tenesi wa Austalia Nick Kyrgios jana alibuka na ushindi dhidi ya Mjerumani Alexander Zverev.

 

9 years ago

BBCSwahili

Fury amchapa Klitschko na kutwaa ubingwa

Bondia Muingereza,Tyson Fury alimtamausha mshikilizi wa mataji tatu ya uzani mzito duniani Vladimir Klitschko na kutwaa ubingwa wa dunia.

 

10 years ago

BBCSwahili

Amir Khan amchapa Alexander Devon

Bondia wa Uingereza Amir Khan ametetea taji lake kwa wingi wa pointi dhidi ya bondia raia wa Marekani Devon Alexander

 

10 years ago

GPL

MOHAMMED MATUMLA AMCHAPA MCHINA KWA POINTI

Bondia Mohamed Matumla amemchapa mpinzani wake raia wa China, Wang Xin Hua kwa pointi. Matumla ameshinda pambano hilo la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF la raundi 12 uzani wa Bantam lililopigwa katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam usiku huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Nesi amchapa mjamzito ‘leba’, kitoto chafariki

Muuguzi mmoja wa Kituo cha Afya cha Muungano kilichoko wilayani Chamwino anatuhumiwa kumchapa viboko mma mjamzito aliyekwenda kujifungua na kusababisha mtoto afie tumboni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani