RC awaonya wafugaji
SERIKALI mkoani hapa imeazimia kuchukua hatua za kisheria kwa mtu yeyote atakayekiuka utaratibu wa kisheria wa kutaka kuhamia katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya kwa ajili ya ufugaji. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro alitoa msisitizo huo alipokuwa kwenye ziara ya kikazi wilayani Chunya, ambapo aliitaja wilaya hiyo kuwa miongoni mwa wilaya zilizokithiri kwa maeneo yake kuvamiwa na wafugaji wanaohamia bila kufuata utaratibu.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Dec
Mahiza awaonya wafugaji kuibiana
MKUU wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza amewaonya wafugaji mkoani hapa kuwapatia vijana wao ng’ombe wawapeleke malishoni kutokana na kuwepo kwa wimbi la kuibiana mifugo. Mahiza alitoa wito huo juzi...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Majaji waendesha mahakama ya wazi kusikiliza na kupokea malalamiko ya wakulima walionyang’anywa Ardhi,Wafugaji na Migogoro ya wakulima na wafugaji
![IMG_0113](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/10/IMG_0113.jpg)
11 years ago
Habarileo19 Feb
RC awaonya wanasiasa wafitini
MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bandera, amewaonya wanasiasa wakiwemo wa vyama vya upinzani wanaoendesha kampeni chafu zenye kuleta chuki kati ya Serikali na wananchi walioathirika na mafuriko katika vijiji vya Tarafa ya Magole, wilayani Kilosa kuacha tabia hiyo.
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Fr9V0gsRfhU/VS6fj9bodhI/AAAAAAAHRWk/RQS7v0ZS62k/s72-c/1588.jpg)
DC AWAONYA WAKAZI WA KISARAWE
![](http://3.bp.blogspot.com/-Fr9V0gsRfhU/VS6fj9bodhI/AAAAAAAHRWk/RQS7v0ZS62k/s1600/1588.jpg)
Bi Subira, amesema kuwa, kuna watu hutumia kofia ya uwekezaji katika nchi hii kujitwalia ardhi katika maeneo mbalimbali na kisha kuyatelekeza bila ya kufanyiwa kazi kwa muda mrefu na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi wanaoishi...
10 years ago
Habarileo21 Aug
Kikwete awaonya Ulanga
RAIS Jakaya Kikwete amewatahadharisha wananchi wa Wilaya ya Ulanga kuwa wakizidi kulumbana kuhusu mipaka ya kuigawa wilaya hiyo bila kufikia maafikiano, watakosa wilaya mpya licha ya kuwa sehemu ya ahadi aliyotoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2010.
10 years ago
Habarileo03 Mar
Pinda awaonya ma-DC wababe
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameonya Wakuu wa Wilaya wanaotawala kibabe, akitaka waache mara moja mbinu hiyo ya kiutawala kwani inajenga uadui, chuki na uhasama.
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Malima awaonya wafanyabiashara
NAIBU Waziri wa Fedha, Adam Malima, amewaonya wafanyabiashara nchini wanaoasisi migomo ya matumizi ya mashine za elektroniki (EFD) za Mamlaka ya Mapato Tanzania na kusema serikali haitawavumilia watu wa namna...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Lukuvi awaonya wafanyabiashara
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge),William Lukuvi, amewakemea baadhi ya wafanyabiashara kuacha kutumia jina lake na kuvamia maeneo ya watu kwa nia ya kudhulumu maeneo...
9 years ago
Mwananchi29 Dec
RC awaonya wakuu wa shule