Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WABABE WAWILI WA LA LIGA KATIKA TAKWIMU ZA HIVI SASA

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri mawakili wapya nchini,katika viwanja vya karimjee jijini Dar hivi sasa

 Sehemu ya Makakili wapya, wakiwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam kunakofanyika Sherehe ya 52 ya kuwakubali na kuwasajiri, inayoongozwa na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mh. Mohamed Othman Chande (hayupo pichani). Picha zaidi zitawajia baadae kidogo.

 

11 years ago

Michuzi

SAFARI YA MWISHO YA MUIGIZAJI WA FILAMU,MAREHEMU ADAM KUAMBIANA KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIVI SASA

 Shughuli ya kuaga mwili wa aliekuwa muigizaji na muongozaji wa filamu hapa nchini,Marehemu Adam Kuambiana inaendelea hivi sasa kwenye viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam.Marehemu kuambiana anatarajiwa kuzikwa leo hii kwenye Makaburi ya Kinondoni hapa hapa jijini Dar.




BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

Dewji Blog

Maadhimisho ya siku ya Takwimu Afrika yafanyika Jijini Dar, Serikali yasisitiza uwazi katika Takwimu

Takwimu - 1

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi  chini ya kauli mbiu isemayo “Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote”.

Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es salaam

SERIKALI kupitia Ofisi ya Taifa ya Takwimu imesema kuwa itaendelea kuwapatia wananchi takwimu sahihi zinazohusu sekta mbalimbali ili kuwajengea...

 

10 years ago

Vijimambo

MAADIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA TAKWIMU.

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam” na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi chini ya kauli mbiu isemayo “ Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote.Baadhi ya wadau mbalimbali na wataalam wa takwimu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika wakifuatilia masuala mbalimbali leo jijini Dar es salaam.Mkurugenzi wa Shughuli za...

 

10 years ago

Michuzi

MAADHIMISHO YA SIKU YA TAKWIMU AFRIKA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM, SERIKALI YASISITIZA UWAZI KATIKA TAKWIMU

Waziri wa Fedha wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Omar Yussuf Mzee akifungua maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam” na kuwashirikisha wadau mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi chini ya kauli mbiu isemayo “ Takwimu Huria kwa uwajibikaji na ushirikishwaji wa wadau wote.Mkurugenzi wa Shughuli za Kitakwimu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bi. Aldegunda Kombo akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi hiyo kuhusu matumizi ya takwimu sahihi katika...

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NEWSSS!!!! UONGOZI WA JUU WA NCCRA-MAGEUZI WAONGEA NA WANAHABARI SASA HIVI KATIKA HOTELI YA LAND MARK JIJINI DAR.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-MAGEUZI,Reticia Ghati Mosore akizungumza na vyomo mbalimbali vya habari katika Hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam kuhusiana na ukiukwaji wa taratibu katika umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA)

 

10 years ago

Mwananchi

Takwimu zote za watafiti sasa kuratibiwa na NBS

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amefafanua kuwa Sheria ya Takwimu haitayazuia mashirika wala watu binafsi kufanya tafiti na kukusanya takwimu, isipokuwa watatakiwa kuhakikisha takwimu zao zinaratibiwa na ofisi yake kabla ya kuzitoa.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Nchi hivi sasa inayumba’

JOSEPH SINDE WARIOBA (TUME YA KATIBA TANZANIA)Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam
VIONGOZI wastaafu na wasomi nchini wamesema hivi sasa taifa linakabiliwa na viashiria vya uvunjivu wa amani hali inayosababisha nchi kuyumba.
Kutokana na hali hiyo wamesema ni muhimu kudhibiti amani hasa katika kipindi cha kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Walikuwa wakizungumza Dar es Salaam jana katika mkutano uliandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere unaojadili amani na umoja wa nchi.
Jaji Warioba
Akizungumzia hali ya amani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani