Nape asema CCM imezuia mafuriko kwa mikono.
Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.
Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania16 Sep
Nape: CCM itazuia mafuriko kwa kidole
NA SARAH MOSSI, LINDI
KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amesema chama hicho kina uwezo wa kuzuia mafuriko hata kwa kidole, achilia mbali mikono.
Nape ambaye ni mgombea ubunge Jimbo la Mtama mkoani Lindi, alisema hayo jana katika mkutano wa kampeni uliofanyika uwanja wa Nyangao na kuhudhuriwa na mgombea mwenza wa chama hicho, Samia Suluhu Hassan.
Katika mkutano huo, Nape aliwabeza wanachama waliowania nafasi ya urais kupitia CCM na ubunge, kisha wakatemwa...
11 years ago
Michuzi
Nape asema CCM itashinda kwa kishindo jimbo la Chalinze


10 years ago
Vijimambo
HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MIKONO


10 years ago
Mwananchi26 Mar
Lowassa: Siwezi kuzuia mafuriko kwa mikono
9 years ago
CCM BlogNAPE ATINGA NEW HABARI CORPORATION LTD LEO, ASEMA CCM ITAMPA USHIRIKIANO MKUBWA DK. MAGUFULI ASIMAMIE ILANI VIZURI
10 years ago
Vijimambo
WAKAZI WA JIJI LA MWANZA WAIPOKEA CCM KWA MIKONO MIWILI, WASEMA MAGUFULI NI RAIS AJAYE




10 years ago
Dewji Blog10 Feb
NAPE: Hakuna mgombea atakayepitishwa CCM kwa presha za makundi, ni kwa kukidhi vigezo vya kanuni na katiba za chama tu
NA BASHIR NKOROMO
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, hakuna kitakayempitisha kugombea urais 2015, kwa presha za makundi au wapambe.
Akizungumza kwa nyakati tofauti katika vyumba vya habari vya magazeti ya Habari Corporation, na Mwananchi Communication Ltd, jijini Dar es Salaam, leo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye amesema, mfumo wa CCM katika kuwapata wagombea ni imara kiasi kwamba hautaweza kuathiriwa na presha za makundi wakati wa kuteua mgombea urais katika uchaguzi mkuu...
11 years ago
Michuzi
NAPE ATOA DARASA KWA VIONGOZI WA CCM UINGEREZA



BOFYA...
10 years ago
Mwananchi23 Jun
Nape: CCM itashinda tu hata kwa goli la mkono