Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MIKONO

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle ya kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015Lowassa, (kulia), akiwatuliza wana CCM na wananchi wa Musoma, waliojaribu kuvunja geti ili walao wapate kugusana naye alipowasili...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MKONO, LOWASSA AWEKA REKODI MPYA YA WADHAMINI SINGIDA, 22,758 WAMDHAMINI

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akionyesha furaha, wakati katibu wa CCM wilaya ya Singida mjini, Magdalena Daniel Ndwete, alipotangaza wana CCM 22, 758 kutoka mkoa wa Singida, wamemdhamini katika harakati zake za kuomba kuteuliwa kuwania urais kupitia CCM, kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015. Lowassa alikuwa mkoani Singida, Jumanne Juni 16, 2015 kutafuta wadhamini kabla ya kuelekea Shinyanga ambako alishiriki katika mazishi...

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kuzuia mafuriko kwa mikono

Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa amesema kuwazuia wananchi kwenda nyumbani kwake kumshawishi agombee urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu ni sawa na kuzuia mafuriko kwa mkono.

 

10 years ago

Vijimambo

Nape asema CCM imezuia mafuriko kwa mikono.

Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejigamba kwamba kimeweza kuzuia ‘mafuriko’ kwa mikono huku kikiwatakia kila la kheri baadhi ya makada wake waliotangaza kutogombea kupitia chama hicho pamoja na wale waliokihama na wanaotaka kukihama.

Mwishoni mwa wiki iliyopita waliokuwa madiwani jimbo la Monduli kupitia CCM mkoani Arusha, walitangaza kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), huku wabunge wa viti maalum, Ester Bulaya na James Lembeli...

 

11 years ago

GPL

ZUIA UGOMVI KABLA HAUJAANZA

LEO usiku wa saa sita, tutakuwa tumekaa pamoja na familia zetu na wapendwa wetu, tukiisubiri kwa hamu dakika ya kwanza ya mwaka mpya, 2014. Kama inavyotokea mara zote, tutashangilia kwa furaha sana tukio hili, maana jambo lenyewe hutokea mara moja tu kila mwaka. Ni siku ambayo kila mtu anayebahatika kuifikia, huifurahia sana, maana Mwenyezi Mungu anakuwa amekuchagua kuwa miongoni mwa binadamu waliopendelewa, hasa ukitilia...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI LA MJI KOROGWE LAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MPANGO TIBA KWA KADI (TIKA)

Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, ambaye alimwakilisha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe, Bw. Lewis Kalinjuna akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani katika kupitisha sheria ndogo ya Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwenda katika Mfumo wa Afya ya Jamii Mijini wa Tiba kwa Kadi (TIKA). Kikao hicho cha mwisho kimefanyika Machi 29, 2014 katika ukumbi wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe. Pembeni ni Mwenyekiti wa Hamashauri ya Mji Korogwe ambaye ni Diwani wa Kata ya Kilole,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani