Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanyama aimwagia sifa Southampton

Celtic v Barcelona - UEFA Champions LeagueLONDON, ENGLAND

KIUNGO wa timu ya Taifa ya Kenya na klabu ya Southampton ya nchini England, Victor Wanyama, ameimwagia sifa klabu yake ya Southampton kwa ushirikiano ambao waliuonesha kwenye mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Arsenal ambapo Southampton iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 mwishoni mwa wiki iliyopita.

Mtandao wa Supersport umeripoti kwamba, Wanyama amekuwa na furaha kubwa baada ya kuisaidia timu yake Southampton kuweza kuibuka na ushindi katika Sikukuu ya ‘Boxing Day’ kwa kuichapa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Pires amwagia sifa Wanyama, asema ana sifa zote za kucheza Arsenal

robert-pires_3068381k

Robert Pires.

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Mchezaji wa zamani wa Arsenal, Robert Pires amemsifia mchezaji wa timu ya taifa ya Kenya na Southampton, Victor Wanyama na kuwa ana sifa za kucheza Arsenal kutokana na ubora alionao.

Pires aliulizwa na mwandishi wa habari wa Kenya kuhusu uwezo wa Wanyama na kusema kuwa amekuwa akimwangalia mchezaji huyo na anamwona kama mchezaji mwenye uwezo mzuri ambao kama akiongeza juhudi anaweza katika ubora wa wachezaji bora wa dunia.

“Namjua Wanyama, ni balozi...

 

10 years ago

Habarileo

Cheyo aimwagia sifa bajeti

Mbunge wa Bariadi Mashariki, John CheyoWAKATI baadhi ya wabunge wakisema hatua ya serikali kutaka kuongeza kodi kwenye mafuta itapanda gharama za maisha na kuongeza ugumu wa maisha kwa Watanzania, Mbunge wa Bariadi Mashariki, John Cheyo (UDP) ameimwagia sifa bajeti na kusema wakati umefika wa kuondokana na serikali ya vibatari na koroboi.

 

9 years ago

Habarileo

Haji Mwinyi aimwagia sifa Ligi Kuu

BEKI wa kushoto wa Yanga, Haji Mwinyi, amesema Ligi Kuu ya Tanzania Bara imezidi kupandisha kiwango chake kutokana na ushindani mkubwa uliopo tofauti na ile ya Zanzibar.

 

11 years ago

Michuzi

Mb Dog aimwagia sifa video yake ya ‘Mbona Umenuna’

Na Kambi Mbwana, Dar es Salaam MKALI wa muziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Dog, amesifia video ya wimbo wake mpya ya Mbona Umenuna akisema imeandaliwa kwa kiwango cha juu na kudhihirisha ubora wake. Mb Dog  Akizungumza leo asubuhi jijini Dar es Salaam, Mb Dog alisema mashabiki wote watakaopata bahati ya kuitazama video hiyo iliyotengenezwa na Abby Kazi, ataamini makali yake. Alisema lengo lake ni kuwapatia mashabiki burudani kamili, hivyo wadau wote wapate muda wa kuitazama video...

 

5 years ago

Michuzi

BASHUNGWA AIMWAGIA SIFA KIBAHA MJI KWA UWEKEZAJI

 NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA
WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Innocent Bashungwa ametoa rai kwa mamlaka na taasisi zinazohusika na Viwanda likiwemo Shirika la Viwanda Vidogo nchini SIDO, DIT NA NEMC kuwa karibu na wawekezaji kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu na mazingira.

Aliyasema hayo ,wakati wa ziara yake ya kikazi ya siku moja katika Halmashauri ya Mji Kibaha ,mkoani Pwani, ambapo pia ameridhishwa kwa namna mji huo unavyotekeleza sera ya uwekezaji wa viwanda kwa vitendo . Bashungwa...

 

5 years ago

Michuzi

UKUSANYAJI MAPATO SEKTA YA MADINI WAMKOSHA WAZIRI DOTTO BITEKO, AIMWAGIA SIFA GGML KWA UWEKEZAJI WA KIMKAKATI KATIKA MKOA WA GEITA

 Makamu wa Rais anayeshughulikia Maendeleo Endelevu katika Kampuni ya GGML, Simon Shayo akizungumza katika ziara ya Waziri wa Madini, Dotto Biteko aliyetembelea miradi ya kampuni hiyo inayotekelezwa chini ya mpango wa kusaidia jamii (CSR) mkoani Geita. Waziri wa Madini Dotto Biteko akitoa pongezi za serikali kwa GGML baada ya kutembelea miradi hiyo. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Geita, Mhandisi Robert Gabriel  na kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita Josephat Maganga wakati kushoto ni baadhi ya...

 

9 years ago

BBC

Chelsea 1-3 Southampton

Senegal's Sadio Mane is among the scorers as Southampton stun Chelsea with a 3-1 win at Stamford Bridge.

 

10 years ago

BBC

Southampton 1-1 Chelsea

A goal from Senegal's Sadio Mane helps Southampton draw 1-1 with Premier League leaders Chelsea at St Mary's Stadium.

 

10 years ago

BBC

Southampton 8-0 Sunderland

Victor Wanyama and Sadio Mane both score as Southampton thump Sunderland 8-0 to record their best ever victory in the Premier League.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani